Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 737
Niliwahi kusikia wanyarwanda hasa watutsi ni jamii ya waIsraeli waliozagaa so dont ask twice why,
Eti hii post ya TADPOLE imepata Likes 100 na Wewe umeongeza 1 na kuwa 101. Ana Madini ( Akili ) Kichwani mpaka akiandika Kitu hapa JamiiForums apate likes hizo 100? Tunaopata Likes au wenye Likes nyingi hapa JamiiForums kwa ama Kuandika Mada au Kuchangia akina GENTAMYCINE hutuoni? Nina Likes nyingi mpaka zingine natamani nikupunguzie Wewe na Wapumbavu Wenzako akina Arovera ili nanyi mfarijike.Hii post yako nimekuta umegongewa Like 100 na mimi nimeongeza 1 maana yake Members 101 wa JF kwenye thread hii peke yake wamekubaliana na wewe kwa asilimia 100 kwa ulichoandika.
Ushauri wangu kwa huyu dogo Genta ajitafakari sana, kitu asichokijuwa wengi hatujawahi kuexpose humu our genuine identity kwa sababu maalum na ndio sababu tunatumia fakeID, lakini tukija kwenye maisha halisi mtaani mtu mjinga kama huyu huenda hana qualifications zozote za kuwa karibu yako kwa lolote lile.
Ujuwaji mwingi wakati hajui lolote mpumbavu tu.
Usiponiheshimu Wewe Sitombi, Sili na Siingizi Pesa? Pumbavu....!!!Ndio kisa we needed fala nimeacha rasmi kukuheshimu
Una lugha chafu sana papaaUsiponiheshimu Wewe Sitombi, Sili na Siingizi Pesa? Pumbavu....!!!
Lakini Mimi naamini wewe ni fala sana chiefUsiponiheshimu Wewe Sitombi, Sili na Siingizi Pesa? Pumbavu....!!!
Akafikie mbaliHuyo sio Mtutsi, na hana ututsi wowote
Ila zako Wewe ni Safi sana Papaa Zuzu?Una lugha chafu sana papaa
Kumzidi Babaako?Lakini Mimi naamini wewe ni fala sana chief
Ila we jamaa unapenda misifa?Ulisema kuwa sijakaa Ikulu ya Nakasero Uganda nikakujibu na mpaka niliokaa nao na kukuonyesha sijakaa tu ya Uganda bali nimekaa pia nikiwa Mdogo hata ya Dar es Salaam na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mbona hujaja tena la lingine? Pumbavu, Mswahili na Mshamba mkubwa Wewe.
Na Sifa nazo na zenyewe zinanipenda.Ila we jamaa unapenda misifa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila genta bana unafurahisha sanaBahati nzuri Baba yangu Mzazi ambaye ni Former Respected Senior Diplomat wa Taifa hili la Tanzania na Mtu aliyeshika Nyadhifa Kubwa Idara MUHIMU na kuwa Msaidizi wa karibu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mshauri Mkuu wa Masuala ya Kidiplomasia ( Nje ) na Usalama wa Hayati Rais Mkapa na Mjumbe Maalum wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Marais Hayati Nelson Mandela ( South Africa ), Robert Mugabe ( Zimbabwe ), Yoweri Museveni ( Uganda ), Paul Kagame ( Rwanda ), Pierre Buyoya ( Burundi ) na Joseph Desire Kabila ( Congo DR ) hakuwa ( siyo ) Mwendawazimu ( Chizi ) na Mpumbavu ( Juha ) kama Wewe.
Wakongoman viumbe dhalili sasa.[emoji1][emoji1][emoji1] Wanaume wa Wacongo wamekalia kucheza ndomboro ya soro,kujichubua ngozi,kusuka wakina dada masaluni,hawatakagi kufanya kazi ngumu ngumu/za maana,wote wanawaza kwenda Paris Wala hawana dreams za kuijenga nchi yao.
Hua nacheka kinyama Wacongo wanavyolia Lia khs Rwanda ka nchi kadogo kanaingia mara 90 ya Congo [emoji1][emoji1][emoji1].Yaani Ni shithole kabisa
Nafurahisha wakati hilo nililoliandika hapo ni Kweli? Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na nilichokiandika hapo nimekimaanisha tena kwa Jeuri zote. Nidanganye kwa Faida ipi na ya nani labda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila genta bana unafurahisha sana
Hukumbuki yule rais wao aliyepinduliwa halafu a kakimbilia huku wakamuokoa na kurudisha kitini?Burundi sijui wanakwama wapi..
[emoji1787] huwa napenda unavotia msisitizo kwenye hoja zako mkuu.Nafurahisha wakati hilo nililoliandika hapo ni Kweli? Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na nilichokiandika hapo nimekimaanisha tena kwa Jeuri zote. Nidanganye kwa Faida ipi na ya nani labda?
I'm very Proud of my Lovely Father Ok?
Si unaona ulivyo lofa, Tanzania square km zake Ni 947,303 population Yake ikiwa roughly 60mil,Congo Square km zake ni 2,345,000 huku population Yake ikiwa Ni 90milUmmmh ww ni liongo....wakati tanzania ni ya tano kwa ukubwa kieneo na idadi ya watu africa yetu
😁😁 Shida Ni Kwamba wacongo hawapendi kuambiwa wao sio wazalendo kwa nchi yao.Wakongoman viumbe dhalili sasa.
Tuma salamu kwa watu watatu mkuu.Nchi kumi kubwa kieneo Africa ni kama ifuatavyo
1. Algeria 2.Democratic Republic Of Congo ( DRC) 3. Sudan 4. Libya 5. Chad 6. Niger 7. Angola 8. Mali 9. South Afica 10. Ethiopia