Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Niliwahi kusikia wanyarwanda hasa watutsi ni jamii ya waIsraeli waliozagaa so dont ask twice why,

Ni uongo wa Cushites wote wa kuanzia pembe ya Afrika, ethiopia hadi hapo Rwanda hua wanajidanganya ni wa israel au wayahudi weusi lakini ni notion tu ya bias superiority complex.
 
Hii post yako nimekuta umegongewa Like 100 na mimi nimeongeza 1 maana yake Members 101 wa JF kwenye thread hii peke yake wamekubaliana na wewe kwa asilimia 100 kwa ulichoandika.

Ushauri wangu kwa huyu dogo Genta ajitafakari sana, kitu asichokijuwa wengi hatujawahi kuexpose humu our genuine identity kwa sababu maalum na ndio sababu tunatumia fakeID, lakini tukija kwenye maisha halisi mtaani mtu mjinga kama huyu huenda hana qualifications zozote za kuwa karibu yako kwa lolote lile.

Ujuwaji mwingi wakati hajui lolote mpumbavu tu.
Eti hii post ya TADPOLE imepata Likes 100 na Wewe umeongeza 1 na kuwa 101. Ana Madini ( Akili ) Kichwani mpaka akiandika Kitu hapa JamiiForums apate likes hizo 100? Tunaopata Likes au wenye Likes nyingi hapa JamiiForums kwa ama Kuandika Mada au Kuchangia akina GENTAMYCINE hutuoni? Nina Likes nyingi mpaka zingine natamani nikupunguzie Wewe na Wapumbavu Wenzako akina Arovera ili nanyi mfarijike.

Kubwa Jinga Wewe na Authentic Moron on JamiiForums na ndiyo maana 24/7 huwa nakudharau tu halafu hujishtukii.

Yaani pamoja na kujifanya ni mkongwe hapa JamiiForums hujajua tu kuwa kuna Member mwenye ID ya and 100 others ambaye ndiyo ame Like katika hiyo Post ya TADPOLE na kwa Upumbavu wako na wa wengine mkadhani hiyo post ina Likes 100?

Mkiwa na Akili nitaacha Kuwapuuza Ok?
 
Ulisema kuwa sijakaa Ikulu ya Nakasero Uganda nikakujibu na mpaka niliokaa nao na kukuonyesha sijakaa tu ya Uganda bali nimekaa pia nikiwa Mdogo hata ya Dar es Salaam na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mbona hujaja tena la lingine? Pumbavu, Mswahili na Mshamba mkubwa Wewe.
Ila we jamaa unapenda misifa?
 
Bahati nzuri Baba yangu Mzazi ambaye ni Former Respected Senior Diplomat wa Taifa hili la Tanzania na Mtu aliyeshika Nyadhifa Kubwa Idara MUHIMU na kuwa Msaidizi wa karibu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mshauri Mkuu wa Masuala ya Kidiplomasia ( Nje ) na Usalama wa Hayati Rais Mkapa na Mjumbe Maalum wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Marais Hayati Nelson Mandela ( South Africa ), Robert Mugabe ( Zimbabwe ), Yoweri Museveni ( Uganda ), Paul Kagame ( Rwanda ), Pierre Buyoya ( Burundi ) na Joseph Desire Kabila ( Congo DR ) hakuwa ( siyo ) Mwendawazimu ( Chizi ) na Mpumbavu ( Juha ) kama Wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila genta bana unafurahisha sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Wanaume wa Wacongo wamekalia kucheza ndomboro ya soro,kujichubua ngozi,kusuka wakina dada masaluni,hawatakagi kufanya kazi ngumu ngumu/za maana,wote wanawaza kwenda Paris Wala hawana dreams za kuijenga nchi yao.

Hua nacheka kinyama Wacongo wanavyolia Lia khs Rwanda ka nchi kadogo kanaingia mara 90 ya Congo [emoji1][emoji1][emoji1].Yaani Ni shithole kabisa
Wakongoman viumbe dhalili sasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila genta bana unafurahisha sana
Nafurahisha wakati hilo nililoliandika hapo ni Kweli? Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na nilichokiandika hapo nimekimaanisha tena kwa Jeuri zote. Nidanganye kwa Faida ipi na ya nani labda?

I'm very Proud of my Lovely Father Ok?
 
Nafurahisha wakati hilo nililoliandika hapo ni Kweli? Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na nilichokiandika hapo nimekimaanisha tena kwa Jeuri zote. Nidanganye kwa Faida ipi na ya nani labda?

I'm very Proud of my Lovely Father Ok?
[emoji1787] huwa napenda unavotia msisitizo kwenye hoja zako mkuu.
 
Ummmh ww ni liongo....wakati tanzania ni ya tano kwa ukubwa kieneo na idadi ya watu africa yetu
Si unaona ulivyo lofa, Tanzania square km zake Ni 947,303 population Yake ikiwa roughly 60mil,Congo Square km zake ni 2,345,000 huku population Yake ikiwa Ni 90mil
 
Nchi kumi kubwa kieneo Africa ni kama ifuatavyo
1. Algeria 2.Democratic Republic Of Congo ( DRC) 3. Sudan 4. Libya 5. Chad 6. Niger 7. Angola 8. Mali 9. South Afica 10. Ethiopia
Tuma salamu kwa watu watatu mkuu.
 
Back
Top Bottom