Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hii post yako nimekuta umegongewa Like 100 na mimi nimeongeza 1 maana yake Members 101 wa JF kwenye thread hii peke yake wamekubaliana na wewe kwa asilimia 100 kwa ulichoandika.Huyo jamaa mshamba hadi leo akiwa Tandika anaulizia magari ya kariakoo yako wapi!!!..Anachofanya humu ni kujitutumua kuonyesha na yeye born town matawi kumbe tunaojua saikolojia tumeshagundua kwamba hayupo sawa mentally!!!!.. LIKUD huwa anasema anahisi wenzie wanamgonga(wanamnyata)
Ushauri wangu kwa huyu dogo Genta ajitafakari sana, kitu asichokijuwa wengi hatujawahi kuexpose humu our genuine identity kwa sababu maalum na ndio sababu tunatumia fakeID, lakini tukija kwenye maisha halisi mtaani mtu mjinga kama huyu huenda hana qualifications zozote za kuwa karibu yako kwa lolote lile.
Ujuwaji mwingi wakati hajui lolote mpumbavu tu.