stable912
Member
- Dec 11, 2017
- 28
- 22
Hivi ni kweli ulichoandika? Kwamba huwezi kuwa usalama bila kuwa KOMANDO.......wajuzi wa hizi mambo plz kwangu naona big NO! Nikiwa na maana si lazima uwe komando ili uwe usalama.Huyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police