Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?

Huyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police
Hivi ni kweli ulichoandika? Kwamba huwezi kuwa usalama bila kuwa KOMANDO.......wajuzi wa hizi mambo plz kwangu naona big NO! Nikiwa na maana si lazima uwe komando ili uwe usalama.
 
Hivi ni kweli ulichoandika? Kwamba huwezi kuwa usalama bila kuwa KOMANDO.......wajuzi wa hizi mambo plz kwangu naona big NO! Nikiwa na maana si lazima uwe komando ili uwe usalama.
Yes, kama usalama mahala pa kazi you are very right.
 
Ila Jf ina wanausalama wengi kweli na wanajibu vizuri kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sina uhakika najaribu kutoa mtazamo wangu binafsi,nafikiri hii ni kwa sababu ya utulivu wa nafsi,kwa maana Komando ana uhakika wa usalama wake yeye mwenyewe kwanza kwa sababu anauwezo mkubwa katika kujilinda kuliko hawa wengine.Kutokana na hilo basi inamaana akifika katika eneo husika anakuwa full Confidence.

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hujafafanua vizuri unamzungumzia komando yupi, maana kuna KOMANDO Ledi Jei Dii, KOMANDO Hamza kalala na KOMANDO Kipensi
Rubbish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…