Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,495
- 2,543
Vitu vingine sijui mnawaza kwa kutumia nini. Wewe unaona mazingira ya ulaya ni sawa na Africa? Ulaya kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine ni masaa tu iwe kwa ndege ya abiria au kwa treni au hata kwa basi na kwa ukwasi walio nao timu za ulaya kutumia ndege ya kukodi ni rahisi tu tofauti na afrika miundombinu na logistics za usafiri si rafiki fikiria kwa mfano simba akisema asafiri kwenda Angola tu hapo kwa ndege ya abiria atalazimika kweda nairobi, addis ababa then ndo watue Angola au Congo tu hapo jirani kwa ndege ni lazima uende mpaka Ethiopia kwanza au kwenda Morocco wanalazimika kwenda mpaka dubai au spain (nje kabisa ya Africa) ndo waingie morocco hii ni kwasababu hakuna route ya moja kwa moja kwa baadhi ya nchi.Ila bongo mpira bado sana.
MFano epl kule man city anacheza leo ligi, after 3 days ana uefa na huoni akilalamika wala mechi kuw postponed.
Hiyo ni mifano tu kwa uchache