Ni kwanini hapo zamani mama na bibi zetu tuliwakuta wameolewa lakini kwa sasa wengi hawajawahi hata kuolewa

Ni kwanini hapo zamani mama na bibi zetu tuliwakuta wameolewa lakini kwa sasa wengi hawajawahi hata kuolewa

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Mtakubaliana nami hapo zamani karibu kila mwanamke kabla hajafika miaka 23 ashaolewa.

Kwa nini kwa sasa wanawake ishazoeleka wanazeeka bila ndoa ?
 
Idadi ya wanaume na wanawake iliiua inabalance.
 
Zamani wanawake walikuwa wanafunzwa kwamba wajibu wao pekee ni kuolewa na kuzaa watoto lakini nyakati hizi wameelimika na wanajua haki zao
 
Mwanamke akishavunja ungo anaolewa.
Wakati mwingine wanawake walilipiwa mahari kabla au mara tu baada ya kuzaliwa.
Ni mojawapo ya sababu za wanawake kutozalia nyumbani.

Kuna wazee ambao tofauti ya umri wa mama na mwanae ni miaka 15 au zaidi kidogo.

Wanaume nao hawakuwa na sababu za kuwazuia kuoa mara baada ya barehe.

Hivi sasa kusoma.na kujiandaa kwa ajili ya maisha baada ya ndoa vimesababisha changamoto ya kuchelewa kuoa.
Ugumu wa maisha kutokana na Nahitaji ya maisha inaleta changamoto kubwa.
 
FB_IMG_16890670801427133.jpg
 
umri huo miaka 22-23 kwa sasa wengi wapo wanakula ujana kwanza utasikia sitaki kuolewa na mwalimu nataka mwanaume anaefanya kazi ya maana na anaejua kuvaa wanalishana ujinga wakikaa kwenye masaluni yao

Siku hizi mwanamke mpaka awe mtumba ndio anahitaji mume "utasikia nahitaji wakunioa nahitaji mwenye pumzi tu mimi na watoto watatu
 
Wanawake wa sahivi hawana sifa ya kuitwa mke na vijana wa kiume wengi wanatunza pesa zao wanachukulia kuishi na Mwanamke Kama kupotezeana Muda .
 
Mtakubaliana nami hapo zamani karibu kila mwanamke kabla hajafika miaka 23 ashaolewa.

Kwa nini kwa sasa wanawake ishazoeleka wanazeeka bila ndoa ?
Nahisi ni swala la system ya elimu.
Mpaka mke amalize shule, atakuwa ashagonga miaka 24 hv kama atafika chuo kikuu.

Zamani mwanamke akiwa na miaka 16 hana lolote anakuwa anasubiri yeyote tu.

Then hata wanaume nao majukumu yao mengi imekuwa ni kusoma, wakiwa na umri huo.

Kwahyo ndoa za umri huo (umri wa mleta uzi) zinapungua kwa kiasi kikubwa. Kwa sababu hizo nlizoziainisha.
 
Wanaume wazamani hadi wanakupa hamu ya kuolewa nao
 

Attachments

  • images - 2023-07-11T190302.446.jpeg
    images - 2023-07-11T190302.446.jpeg
    25.1 KB · Views: 2
  • c16ac01266b5cd50.jpg
    c16ac01266b5cd50.jpg
    16.2 KB · Views: 2
Wanaume wa sasa halafu hawajitambui
 

Attachments

  • images - 2023-07-11T190931.632.jpeg
    images - 2023-07-11T190931.632.jpeg
    10.2 KB · Views: 3
  • images - 2023-07-11T190553.228.jpeg
    images - 2023-07-11T190553.228.jpeg
    51 KB · Views: 2
Back
Top Bottom