Ni kwanini hapo zamani mama na bibi zetu tuliwakuta wameolewa lakini kwa sasa wengi hawajawahi hata kuolewa

Ni kwanini hapo zamani mama na bibi zetu tuliwakuta wameolewa lakini kwa sasa wengi hawajawahi hata kuolewa

Mtakubaliana nami hapo zamani karibu kila mwanamke kabla hajafika miaka 23 ashaolewa.

Kwa nini kwa sasa wanawake ishazoeleka wanazeeka bila ndoa ?
kijijini kwetu hapa tarime, wakati nakua miaka ya 1980s kulikuwa na mdada mmoja tu hakuwa ameolewa, na alikuwa na hali fulani kama vile dish limeyumba kiaina, otherwise wengine wote walikuwa wameolewa
ila kwa sasa single mothers wa kutosha na waoaji hakuna
 
Back
Top Bottom