Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Alimuua nani na alimteka nani ushahidi tafadhaliAliwagusa Sana wananchi negatively. Aliua, aliteka na kuuwa. Kwa haya maovu yake kamwe hatasahaulika kama ilivyo kwa Hitler, Idd Amin, Bokasa na Mobutu
Riba ni kiasi gani boss?Hiyo trillion 39 aliyoikuta ilikuwa riba haitembei au ilikuwa imestack
Na wote ni wakatoliki na wote uliowaacha ni waislam.Tanzania haitokuja tena kupata Marais Wazuri na ambao ni Intelligent and Visionary kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mkapa na Dk. Magufuli.
Aliwaua Aziry Gwanda na Ben Sa8, aliwateka Mo, vijana wa FB wengi waliokuwa wakimkosoa, bila kumsahau Roma na Ney wa MitegoAlimuua nani na alimteka nani ushahidi tafadhali
Anapigwa vitasa na magenge ya wezi,mafisadi na waharifu kama wewe,Haya ndio matamanio yako, kujadiliwa haimaanishi kukubalika. Si ndio huyo anapigwa vitasa huku ndani mpaka mnasema marehemu asisemwe?
Huu ndio utetezi ambao sukuma gang mmebaki nao, mkidhani tulikuwa hatuoni kiburi chake cha madaraka.Anapigwa vitasa na magenge ya wezi,mafisadi na waharifu kama wewe,