Ni kwanini Hayati Magufuli alipata Mental na Spiritual Immortality?

Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
Ashukuriwe Mungu kwa kutuondolea mtu aliyekua anatoa roho za waja wako huku akitumia mimbari kutoa kejeli kwa watumishi wako[emoji120]
 
Sure, kuna baadhi ya watumishi ni lazima watubu kwa kushiriki na muuaji bila kumwambia ukweli kwamba Mwenyezi Mungu hataki kabisa mwanadamu anayekatiza uhai wa wenzake.
 
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
Nionavyo mimi, kwa upande mmoja, ni kweli kabisa. Lakini kwa upande mwingine siyo. Kuna wale ambao bado wanamkumbukwa. Lakini kwa wale 'waliojeruhiwa' naye kwa namna moja au nyingine katika maisha yao siyo hivyo kabisa.
 
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
CAG Mstaafu kagusia ile 1.2 Tril iliyopotea.
 
Tanzania haitokuja tena kupata Marais Wazuri na ambao ni Intelligent and Visionary kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mkapa na Dk. Magufuli.
Tanzania itakuja kupata Marais wazuri na ambao ni intelligent na visionary kama hao uliowataja. Unadhani hangaya atatawala milele?
 
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
Alipendwa na watu watu kipato Cha chini pekee.

Alichukiwa na chama chake, wafanyakazi, wenye kipato Cha juu,nk nk.

Pia Kufariki akiwa madarakani ni sababu ya mtikisiko tunaoupitia.

Bt Tumevuka salama. Ameeen
 
Tanzania itakuja kupata Marais wazuri na ambao ni intelligent na visionary kama hao uliowataja. Unadhani hangaya atatawala milele?
Tutampata very soon.

Tumalizie uandikwaji wa KATIBA mpya na mambo yote yatakaa sawa.

Tusubiri.
 
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
Of course some people are meant to be famous for all the wrong resons! sasa kama mtu alikuwa anafanya vitendo vya kishetani mpaka shetani wenyewe; Lucifer akiwa miongoni mwao naye akawa anamshangaa,. unategemea nini?! Adolf Hitler, Idd Amin dada, Saddam Hussein, Emperor Bokassa, ni wengine wa aina hiyo, labda kama wewe ni sukumagang!
 
Pole Sana dogo, huwezi
kuyajuwa haya yako zaidi ya
umri na akili yako. Dead people
never talk
Huwa situmii hisia kufikiri, kama hilo ndio hunifanya kuwa dogo basi ni heri niendelee kuwa dogo kuliko kujaza ujinga kichwani kisha ukajiona great thinker.
 
Ashukuriwe Mungu kwa
kutuondolea mtu aliyekua
anatoa roho za waja wako huku
akitumia mimbari kutoa kejeli
kwa watumishi wako[emoji120]
Kuandamana tu mnaogopa virungu vya polisi sasa ni akina nani hao ambao ilifikia hadi kumlazimu Jiwe atoe hadi uhai wao? Tukiomba tutajiwe watu watano tu ambao Jiwe aliwauwa ili tuweze kujua sababu za kuwauwa ila naona hata hao waliyouliwa hawajulikani kama wauwaji wenyewe walivyokuwa ni watu wasiojulikana.

Waonaoua hawajulikani na wanaouliwa hawajulikani.
 
Unajua tokea Hitler apotee kwenye uso wa Dunia ni miaka mingapi? Ni takribani miaka 77 na bado anatajwa. Sababu ni maovu yake, maana yake Hitler alijenga reli, alitengeneza ndege, vifaru na maendeleo makubwa sana kwa wakati huo mpaka kuifanya Germany kuwa taifa kubwa lakini kwa ushenzi wake anatajwa mpaka leo. Hata huyu atakuja kiongozi mwingine atasema maovu yote ya jiwe yawekwe hadharani na itabidi Jona lake liondolewe kwenye vyote vilivyopewa jina lake.

Uyo hitla anatajwa baada ya miaka hiyo 77 kama unavyo sema, lakini kuna waliotenda mema wanatajwa miaka karibia elfu mbili sasa.
Kwahiyo mtu kutajwa miakamingi haimaanishi alikuwa mbaya.
Kwa Magufuli kwa mtu kama wewe mlamba makombo ya mafisadi na chetichako feki lazima ulie mbaka siku unaingia kaburini maana ulikatiwa ulaji haramu.
 
Hata mmoja hawezi kutaja.

Hao wajinga wana majinayao mawilitu, ben sanane na azori, alafu wakizidi sana wanaonyesha picha mbili za viloba kimoja kinaonekana kama na picha ya mtu na kingine huwezi kubashiri kama ndani kunanini ndio wanasema watu wameuwawa.

Nyumbu akiizao wamezikalia hawajui wanacho simamia.
Sasaivi wameungana na mafisadi kueneza poropaganda chafu dhidi ya magu kwasababu viongozi wao Magu aliwanyima asali.
Sasaivi wanalambishwa na nyumbu wameambiwa waunge mkono hoja ndiomaana unaona wanapost kila kauli ya mwana ccm anae jaribu kumchafua Magu.
 
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
Upuuzi na upumbafu hii ni ukosefu wa elimu.

Bora Iddi Amin Dada kuliko Magufuri
Screenshot_20220718-172613.jpg
20220317_212436.jpg
1647512773945.jpg
 
Sure, kuna baadhi ya watumishi ni lazima watubu kwa kushiriki na muuaji bila kumwambia ukweli kwamba Mwenyezi Mungu hataki kabisa mwanadamu anayekatiza uhai wa wenzake.
Kingai yupo kigoma Sasa.
 
Back
Top Bottom