PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
Kuua ni kuua tu usitafute namna ya kuhalalisha. Serikali yo yote ambayo haijali uhai wa raia wake, hata mfungwa, haina uhalali wa kuwepo kwenye jamii inayojiita imestaarabika na inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba iliyojiwekea. Fikiria mtu anaapa kwa Kitabu cha Dini yake lakini hana dhamira ya kufuata hicho anachoapa! Huyo utamwachia mtoto wako akutunzie?Dr Ulimboka, Mwangosi na Kibanda ni victims wa juniors wenye masilahi. All in all kilikuwa udhaifu kwenye namna events zilivyokuwa handled na Serikali ya JK.
Ila Magufuli aliunda taasisi ndani ya taasis ya kundi la WASIOJULIKANA ambalo kilikuwa linawajibika kwake kuteka, kutesa na kuua wakosoaji.
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app