Ni kwanini Hayati Magufuli alipata Mental na Spiritual Immortality?

Ni kwanini Hayati Magufuli alipata Mental na Spiritual Immortality?

Kuna watu huwa wanadakia chorus bila kujua mtunzi ni Nani. Huwezi kupoteza raia wako mwenyewe ukaitwa shujaa. Alikuwa muoga ndio maana katumia nguvu nyingi kuiba kura Ila akuambulia chochote zaidi ya kukaa miezi mitatu tu madarakani.
Lakini mwisho wa siku madarakani alikaa hata kama ni siku moja!
 
Niache kumuamini CAG mstaafu nitamuani nani labda?
Umaanza kuwaamini watu wa ccm lini?

Kama unamuamini cag alietuliwa na rais wa ccm kwa nini usimuamin mteuaji?

Nyie watu ndio maana kina mbowe wameona bora warambe asali tu
 
Alikuta deni la 39t wakati anaingia, hadi anaenda kuzimu kaacha deni likiwa 57t. Je alitekeleza miradi ya 20t kwa muda aliokaa madarakani?
Kwa sasa deni ni trilioni ngapi vile?
 
Umaanza kuwaamini watu wa ccm lini?

Kama unamuamini cag alietuliwa na rais wa ccm kwa nini usimuamin mteuaji?

Nyie watu ndio maana kina mbowe wameona bora warambe asali tu
Unadhani huyo CAG alikuwa anaenda siasa za kiduwanzi za CCM?
 
Hao wawili tu?

Hujasikia kama pale kigoma **** watu 7 wa familia moja wameuawa kwa mapanga juzi tu hapa?

Au huyo ben wenu ana umuhimu gan?
anapambana nao huko tena kawakuta wao wenyeji, alifikiri anawatanguliza yeye ataishi !!
 
Kuondoka kwake ni mpango wa Mungu na wala sijaona pengo lake
Kuja na kuondoka ni mipango ya Mungu ndugu yangu, lakini kuna wengine wanaondoka wakiwa wameacha athari chanya kwenye jamii kwa ujumla, hao ingawa watasahulika lakini dunia haita wasahau, na ndipo pengo lao huonekana.
 
Hata mmoja hawezi kutaja.
Sasa kipi kinamfanya amuhusishe Magu na hivyo vifo au aseme Magu alikuwa anauwa wananchi wake hali ya kuwa hao watu wenyewe hayajulikani wala hakuna sababu inayojulikana ya kuuliwa kwao?
 
Magu raisi wa wanyonge, ⌚💯 raisi wamatajiri. Zamu ya masikini kuishi kishetani
 
Tatizo hao waliyouliwa hatuwajui sasa tunawezaje kusema kuwa waliuliwa kwa sababu ya kukosoa ili tumuhusishe Magu na hivyo vifo?
Pole Sana dogo, huwezi kuyajuwa haya yako zaidi ya umri na akili yako. Dead people never talk
 
Co cku 2 mbna Nyingi sana,farao na ibilis kila dk.wanatajwa
Habari JF,

Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.

Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi - hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa.

Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality?

Ni mtu wa Mungu?

Alikuwa Mioyoni mwa watu?

Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi?
 
Back
Top Bottom