Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Lissu hayupo kama mwanzo ana ulemavu wa kudumu kwa sasa na lile tukio bado lina limeacha akilini mwake hivyo bado hayupo sawa.Tatizo Magufuli alitaka
kupambana na nguvu ya Lissu. Kamtwanga Lissu risasi
akapona. Kwenye uchaguzi
katumia hila zote Lissu asipate
chochote, lakini kaambulia
miezi mitatu tu madarakani.
Kamuacha Lissu yupo hai na
analipwa stahiki zake na
marupurupu yake aliyotaja
kumnyima.
Kabla ya Magu, ccm imekuwa ikiiba kura miaka yote hivyo alichofanya Magu ni muendelezo tu wa kuitumia serikali ya ccm kuiba kura. Tofauti tu ni kwamba Magu hakutaka kubalance kama kuwaachia nafasi wapinzani kuingia huko bungeni angalau kuwadanganya wazungu kuwa kuna ushindani hali ya kuwa ukweli wa mambo ccm ndio mchezaji na ni refa pia.Kuna watu huwa wanadakia
chorus bila kujua mtunzi ni Nani. Huwezi kupoteza raia
wako mwenyewe ukaitwa
shujaa. Alikuwa muoga ndio
maana katumia nguvu nyingi
kuiba kura Ila akuambulia
chochote zaidi ya kukaa miezi
mitatu tu madarakani.
Shetani ana wafuasi wengi kuliko Mungu,sasa huko kutajwa anatajwa kwa malengo yapi ikiwa bado yeye ndio wafuasi wengi?... katika imani zetu Shetani
hutajwa sana kuliko malaika na watakatifu wa Mungu. Maonyo
yote ni dhidi ya Shetani; Amri
Kumi, indirectly ni dhidi ya
Shetani. So, sometimes kutajwa
sana inaweza isiwe ni ishara
njema au kwamba anayetajwa
ni mwema sana. Huweza
kutajwa sana kwa sababu ya
ubaya wake pia.
Alikuwa tapeli muongo muongo katili sana.Habari JF,
Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu .
Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.
Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi -hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa .
Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality ?
Ni mtu wa Mungu ?
Alikuwa Mioyoni mwa watu ?
Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi ?
Kama shetani anatajwa sana(kukemewa) kuliko mitume na malaika basi kuna tatizo ni wazi huyo shetani ndio mwenye nguvu kwenu amewatawala.hata shetani kila siku lazima
akemewe
Sent from my Infinix X683 using
JamiiForums
mobile app
Nitajie wananchi watano tu aliyowauwa ambao wewe unawajua katika hao wananchi wengi waliyouwawaAliwagusa Sana wananchi
negatively. Aliua, aliteka na kuuwa. Kwa haya maovu yake
kamwe hatasahaulika kama
ilivyo kwa Hitler, Idd Amin,
Bokasa na Mobutu
Tatizo hao waliyouliwa hatuwajui sasa tunawezaje kusema kuwa waliuliwa kwa sababu ya kukosoa ili tumuhusishe Magu na hivyo vifo?Dr Ulimboka, Mwangosi na
Kibanda ni victims wa juniors wenye masilahi. All in all
kilikuwa udhaifu kwenye namna
events zilivyokuwa handled na
Serikali ya JK.
Ila Magufuli aliunda taasisi
ndani ya taasis ya kundi la
WASIOJULIKANA ambalo
kilikuwa linawajibika kwake
kuteka, kutesa na kuua
wakosoaji.
Na utamsahau vp mtu aliyekufanyia ukatili na kuuwa wenzako? Kama kweli.Anakumbukwa na vichaa
wenzie. Utamkubukaje mtu
katili na muuaji kama yule?
kuna ushahidi wowote ?Anakumbukwa na vichaa wenzie. Utamkubukaje mtu katili na muuaji kama yule?
Nakazia hapoPamoja na mapungufu yake lakini pana mazuri yake pia.
Kunayo hata Document moja inayodhihirisha hayo madai ya kina Utouh na Yule mwingine?Utouh amesema 1.2t imepigwa kipindi cha dhalimu. Sasa hizo Njozi na uchu na raslimali unatoka wapi? Yule alikuwa mzalendo wa mdomoni, lakini kiuhalisia alikuwa mumiani.
Ni kwa sababu alikuwa na mental illnessHabari JF,
Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu .
Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.
Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi -hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa .
Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality ?
Ni mtu wa Mungu ?
Alikuwa Mioyoni mwa watu ?
Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi ?
Acha theory mkuu lete habari za kuhaminika. Tunafahamu matukio yote ya upigaji huwa tunaambiwa hizo fedha zinepigwa kutokea wapi. Mfano escrow tuliambiwa zimechotwa BOT hata jinsi zilivyogawanywa iliwekwa wazi sasa kama hutojali embu tupe mchanganuo na namna hizo fedha zilivyopigwa ili nasi tuweze kuhamini pasi na shaka.
Uwe unakuwa makini sana unapoongea jambo hapa JF. Una uhakika Utouh alisema hizo fedha ziliibwa au kufujwa!!??
Kunayo hata Document moja inayodhihirisha hayo madai ya kina Utouh na Yule mwingine?
Au unamuamini Utouh kama Yesu?
Fedha zinatakiwa kuingia hazina, huko hazionekani, unatakaje kwa mfano?
KuhaminikaAcha theory mkuu lete habari za kuhaminika. Tunafahamu matukio yote ya upigaji huwa tunaambiwa hizo fedha zinepigwa kutokea wapi. Mfano escrow tuliambiwa zimechotwa BOT hata jinsi zilivyogawanywa iliwekwa wazi sasa kama hutojali embu tupe mchanganuo na namna hizo fedha zilivyopigwa ili nasi tuweze kuhamini pasi na shaka.