Mama ndani ya Mwaka kakopa trilioni Ngapi ?Alikuta deni la 39t wakati anaingia, hadi anaenda kuzimu kaacha deni likiwa 57t. Je alitekeleza miradi ya 20t kwa muda aliokaa madarakani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ndani ya Mwaka kakopa trilioni Ngapi ?Alikuta deni la 39t wakati anaingia, hadi anaenda kuzimu kaacha deni likiwa 57t. Je alitekeleza miradi ya 20t kwa muda aliokaa madarakani?
Mama ndani ya Mwaka kakopa trilioni Ngapi ?
Muda ni rafiki mzuri sanaKaweka wazi alichokopa, na sio kuongopea kuwa ni fedha za ndani.
Aliwagusa Sana wananchi negatively. Aliua, aliteka na kuuwa. Kwa haya maovu yake kamwe hatasahaulika kama ilivyo kwa Hitler, Idd Amin, Bokasa na MobutuAlifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi ?
Mna ushahidi 😂😂😂Aliwagusa Sana wananchi negatively. Aliua, aliteka na kuuwa. Kwa haya maovu yake kamwe hatasahaulika kama ilivyo kwa Hitler, Idd Amin, Bokasa na Mobutu
Kaacha deni kubwa kuliko miradi aliyoinzisha. Labda kama ulikuwa unaamini propaganda zake, huku akiwa ameziba mdomo vyombo vya habari.
Yaelekea wewe siyo mtanzania. Au na wewe ni mhutu?Mna ushahidi 😂😂😂
Dr Ulimboka, Mwangosi na Kibanda ni victims wa juniors wenye masilahi. All in all kilikuwa udhaifu kwenye namna events zilivyokuwa handled na Serikali ya JK.Na huyu aliyepo ndiyo siyo wa hovyo;anateua wahuni wanazurura vijijini kusambaza mitungi ya Gesi,hiyo ndiyo kazi ya Waziri?Mo mwenyewe anazalisha bidhaa nyingi Ila hatujawahi kumuona akisambaza vijijini 🤣🤣.
Hakuna serikali isiyo ua Duniani,ata wewe ukitaka show chezea serikali ya Hangaya.Mzee wa Msoga aliwafanya nini Dr Ulimboka, Mwandishi wa Habari Mwangosi na Kibanda.Au ulikuwa bado unanyonya ziwa la Mama?
Lisu huyu anayeshikishwa ukuta na akina rob amster?Bora aliondoka kamuacha Lissu bado yupo hai.
Kwa ushahidi upiLisu huyu anayeshikishwa ukuta na akina rob amster?
We tayarisha pampas tuKwa ushahidi upi
Mkuu RNA kwanza naunga mkono hoja ya spiritual immortality, kila binadamu is immortal, tumeumbwa kwa mwili na Roho, kila binadamu ana miili miwili, mwili wa nyama is the physical body umeumbwa kwa udogo, unakufa na kurudi mavumbini, na roho is the spiritual body, imeumbwa na Gods spirit ndani yetu. Hii Gods spirit ndio roho inaishi ndani yetu. Mtu akifa, kinachokufa is the body, roho haifi bali inaacha mwili kwenye ulimwengu huu wa miili, physical world na kuhamia kwenye ulimwengu wa Roho, the spiritual world.Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi -hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa .
Acha theory mkuu lete habari za kuhaminika. Tunafahamu matukio yote ya upigaji huwa tunaambiwa hizo fedha zinepigwa kutokea wapi. Mfano escrow tuliambiwa zimechotwa BOT hata jinsi zilivyogawanywa iliwekwa wazi sasa kama hutojali embu tupe mchanganuo na namna hizo fedha zilivyopigwa ili nasi tuweze kuhamini pasi na shaka.Utouh amesema 1.2t imepigwa kipindi cha dhalimu. Sasa hizo Njozi na uchu na raslimali unatoka wapi? Yule alikuwa mzalendo wa mdomoni, lakini kiuhalisia alikuwa mumiani.
Tanzania haitokuja tena kupata Marais Wazuri na ambao ni Intelligent and Visionary kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mkapa na Dk. Magufuli.Habari JF,
Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu .
Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.
Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi -hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa .
Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality ?
Ni mtu wa Mungu ?
Alikuwa Mioyoni mwa watu ?
Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi ?
Anakumbukwa na vichaa wenzie. Utamkubukaje mtu katili na muuaji kama yule?Habari JF,
Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu .
Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo yatakufanya Umkumbuke.
Binafsi nliamua kufanya Juhudi kujua kwanini huyu asitoke vinywani na akilini mwa watu. Nilifanikiwa kukutana na Mzee Mmoja mtu wa Imani sana alinijibu Kiongozi huyu alitoweka Kimwili ila kiakili na kiroho ataendelea Kuishi -hatokufa, alienda mbali akasema na kuna baadhi ya watu watakuwa wanawasiliana nae kabisa .
Swali kwanini huyu kiongozi alipata hii Mental na Spiritual Immortality ?
Ni mtu wa Mungu ?
Alikuwa Mioyoni mwa watu ?
Alifanya vitu/matendo yaligusa sana Wananchi ?
Lissu mwenyewe katii kuwa jpm ni jiwe maana japo kafa ni kama mitume tu wakifa nguvu zao zinabaki zinaishi . Kama uniamini muulize mbowe kwa siri atakuambia ukweli wote.Tatizo Magufuli alitaka kupambana na nguvu ya Lissu. Kamtwanga Lissu risasi akapona. Kwenye uchaguzi katumia hila zote Lissu asipate chochote, lakini kaambulia miezi mitatu tu madarakani. Kamuacha Lissu yupo hai na analipwa stahiki zake na marupurupu yake aliyotaja kumnyima.
Dr Ulimboka, Mwangosi na Kibanda ni victims wa juniors wenye masilahi. All in all kilikuwa udhaifu kwenye namna events zilivyokuwa handled na Serikali ya JK.
Ila Magufuli aliunda taasisi ndani ya taasis ya kundi la WASIOJULIKANA ambalo kilikuwa linawajibika kwake kuteka, kutesa na kuua wakosoaji.
Utouh amesema 1.2t imepigwa kipindi cha dhalimu. Sasa hizo Njozi na uchu na raslimali unatoka wapi? Yule alikuwa mzalendo wa mdomoni, lakini kiuhalisia alikuwa mumiani.