Ni kwanini katika Vita zinazoendelea Duniani siwaoni Wanawake waliopo jeshini wakiwa Frontline katika mapambano vitani? Haki sawa ipo wapi?

Ni kwanini katika Vita zinazoendelea Duniani siwaoni Wanawake waliopo jeshini wakiwa Frontline katika mapambano vitani? Haki sawa ipo wapi?

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Habari zenu, katika kufuatilia vita mbalimbali zinazoendelea Duniani kila siku kuanzia ile ya Ukraine na Urusi mpaka hii ya Israel na Hamas, hata tukija hizi vita za Jeshi la kongo na Waasi ni vigumu sana kuona Wanawake wa kijeshi wakiwa Frontline kupambania nchi zao,

Tofauti na wanaume ambao wao hata sasaivi ukiingia Google ukisearch matukio ya vita au hata zile live stream za CNN au Aljazeera kitu utachoona ni wanaume wapo Frontline wanapigana Vita.....na hata ukibahatika kuona wanawake vitani basi watakuwa ni wachache mno yani inaweza kuwa 10 katika 100 na ni lazima utaona wana back up kadhaa ya wanaume.

Mimi naona hii sio haki kabisa maana hizi sheria za Haki sawa zinatuaminisha kwamba Mwanamke na mwanaume wote inawabidi wapate fursa sawa,

Sasa kivipi tena kwenye mambo ya kutolewa uhai wanawake wanawekwa kando ila kwenye mambo mazuri ya pesa na mali basi Mwanamke hamhitaji hata wakili Mwabukusi ili kushinda kesi maana ana upendeleo mkubwa ila kwenye mambo hatari ya kifo kama vita na oparesheni za kijeshi basi sheria za Haki sawa zinajificha.

Ifike mahali tukubaliane tu hakuna usawa kati ya Mwanaume na mwanamke, mwanamke vitu pekee anavyoweza kuvifanya kwa ufanisi mkubwa ni kuzaa, kulea, kuosha vyombo, kupika, Kutoa buibui ukutani na kadhalika.

Hizi perepeche za Haki sawa hazina maana yoyote maana Mwanaume yupo juu ya Mwanamke kwenye kila idara kuanzia Akili, Ukakamavu, Ugunduzi etc...

Najua nimemkanyaga Nyoka kichwani nimejipanga kwa Vita na imani nimeilinda nawasubiri.

images (10).jpeg
 
Nakazia Hukumu kidogo hata kwenye vurumai zinazoendelea hapo kwa jirani zetu Kenya hatuoni Wanawake wa kijeshi wakilitumika jeshi lao kwa kuwazuia waandamanaji wa Gen Z,

Je ni kwanini Fursa hii adhimu ya kuonyesha uzalendo wao kwa Taifa kwa kuingia Frontline kuwazuia Waandamanaji hawaipigii kelele za Haki sawa ?
 
Sisapoti dada zangu kwenda kwenye vita zilizosababishwa na sisi wanaume.ni upuuzi
We SIMP malkia Elizabeth alipoanzisha vita vya Falkland 1982 uliona mwanamke frontline?

Maandamano ya juzi Bangladesh ambayo chanzo kikuu ni waziri mkuu mwanamke uliona askari wanawake frontline akizuia ghasia?

Nyie MASIMP mtajipendekeza mpaka lini kwa wanawake?
 
Wanawake hupenda kwenye Hela tu.Bunge kibogoyo la tz lilitaka eti jeshi la wananchi liajiri idadi sawa kati ya mwanaume na mwanamke.
 
Haki sawa wanaopambania mitandao mkuu,uko vitani wamewaachia nyie mpambanie nchi..
 
Back
Top Bottom