Ni kwanini katika Vita zinazoendelea Duniani siwaoni Wanawake waliopo jeshini wakiwa Frontline katika mapambano vitani? Haki sawa ipo wapi?

hapo nyuma kabla ya miaka ya elf2 kulikua na sheria ya umoja wa mataifa ya kutokuwapeleka wanawake mstari wa mbele wa mapigano.
ila sheria hii imekuja kurekebishwa na sasa wanaweza kupelekwa mbele kwenye mapigano.nafikili nchi zinazopigana bado haziwaamini wanawake.
na kwakua vita za kisasa ni za tekinolojia zaidi basi nao itakua lahisi kuaminiwa kupigana mbele.
 
Kabsa wawekwe mbele na wenyewe
 
Je unajua kazi ya wanawake jeshini hasa wakati wa vita ni nini?
 
Malkia Elizabeth hana mamlaka hayo ,bunge ndio linaendesha serikali nyambaf..na wakati unakua kwenu hilo neno SiMp uliwahi kulisikia au kwasababu umeshamalizia chuo na kimkopo cha Heslb basi kiingereza kingi.
 
zinasababishwaje na wanaume pekee?
Vita za kijinga zote duniani zimebabishwa na sisi wanaume.angalia leo Sudan Kusini, Ukraine vs Urusi, Chad, Israel vs the muslim world nk. Nchi zinazoendeshwa za wanawake zina restraint kwenye mambo ya vita.

Xi jinping ukimtukana kidogo,kesho anaanza kuzunguka nchi yako na Navy yake.
 
😂😂😂Aikoooo!
Huko Frontline kwenye mapambano vitani bado mbali sana 🤣😂😂 niliambiwa hata wakiwa kwenye mafunzo tu na mazoezi ya maporini wanakaa nyuma mbali sana na Yale masilaha makubwa mizinga etc.
 
50/50 is delutional theory, men and women are not equal, a man is more intelligent and masculine.
 
😀😀😀😀 wanataka 50/50 kwenye mambo matamu tamu tu
 
Ningekua na mamlaka ningeamuru masimp yote yakamatwe yatumbukizwe kwenye pipa la tindikali, yanatudhalilisha sana wanaume haya majitu
 
hao viumbe ni kiburudisho cha makamanda hawawezi vita yoyote ova.
 
Wana kazi yao adhimu jeshini..

Husikiagi wanajeshi wakiziimba "W" tatu?? War, women & whisky/wine.
 
Ila kiuhalisia..

Vita ni kitu cha kifala sana nadhani kuliko kitu chochote kile.
 
Malkia Elizabeth hana mamlaka hayo ,bunge ndio linaendesha serikali nyambaf..na wakati unakua kwenu hilo neno SiMp uliwahi kulisikia au kwasababu umeshamalizia chuo na kimkopo cha Heslb basi kiingereza kingi.
We kweli MPUMBAVU,bunge la UK halina mamlaka ya kutangaza vita isipokuwa linajulishwa katika vikao vya dharura.1982 waziri mkuu Margaret Thatcher(mwanamke) kwa niaba ya malkia Elizabeth(mwanamke) alitangaza vita dhidi ya Argentina bila kuhitaji ruhusa ya bunge.
Muda unaotumia kujipendekeza kwa wanawake utumie kujielimishe we SIMP.
 
Wote tunajua mwanamke akitekwa ni kitu gani cha kwanza atafanyiwa, pili maumbile yao kiasili, atabadilisha pedi ngapi uko msitari wa mbele!
 
Kwa wale mliopata nafasi ya kuhudumu kwenye taasis za ulinzi na usalama. Nadhani mnajua kazi ya wanawake ni nn huko, wengine ili wasiende field wanakamata ujauzito haraka ili wawe watu wa light duty

Ukweli ni kuwa wanataka haki sawa kwenye malipo na opportunity , ila kwenye kazi yenyewe ahhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…