Ni kwanini katika Vita zinazoendelea Duniani siwaoni Wanawake waliopo jeshini wakiwa Frontline katika mapambano vitani? Haki sawa ipo wapi?

Malkia Elizabeth hana mamlaka hayo ,bunge ndio linaendesha serikali nyambaf..na wakati unakua kwenu hilo neno SiMp uliwahi kulisikia au kwasababu umeshamalizia chuo na kimkopo cha Heslb basi kiingereza kingi.
Simp acha kelele aka feminist ushavaa gauni tayar
 
Lkn hebu tulitazame hivi. Ke 1 hubeba mimba 1 kwa miezi 9. Me 1 aweza tungisha mimba ngapi kwa miezi 9?
 
Unaangalia hao wanawake nyuma ya keyboard au
 
Wanawake wana majukumu yao kijeshi! Mf.kwenye Airforce wamo!
 
Kuna wengine wanapendelewa pale NDC, Mbweni, kule Arusha pale RTS
 
Ukija kuangalia vizuri,kuna kitu utagundua: Boss huhitaji mfanyakazi wa ndani. Mwenye kiwanda,huhitaji vibarua,mfuaji,huhitaji sabuni. Hakika umenielewa. Captain atalalia kitanda kilichotandikwa na mwanaume mwenzake?
 
Wanawake walianza kuingizwa kwa wingi kwenye majeshi baada ya WWII. Hii ilitokana na askari wengi walioshiriki kwenye ile vita kuishia kupigana miti, hivyo ikabidi kutafuta mbadala. Mpaka hapa unapaswa kujua kazi ya wanawake kwenye majeshi hasa wakati wa vita ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…