Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

Sweya Makungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2023
Posts
508
Reaction score
601
Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani??
💫💫💫💫💫

© Mwl. Makungu Ms
0743781910

Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena.

Vitabu hivi ambavyo ni mafundisho ya kidini / kiimani ya zamani vipo 15 na walivipa jina la pamoja la Apoclipha.

Katika vitabu hivi vya Apoclipha, wakatoliki wakaamua kuvichukua vitabu 6 kati ya 15 wakaviingiza kwenye Biblia ya Kikatoliki. Lakini madhehebu mengine yaliviacha.

Apoclipha ni neno la kigiriki lililo na maana ya SIRI. Kwahiyo vitabu hivi viliamuliwa kufanywa Siri. Vikapigwa marufuku kuwekwa kwenye Biblia na hata kusomwa.

Je! Ni SIRI gani hiyo iliyofichwa???

Moja ya vitabu vya Apoclipha vilivyoondolewa kwenye Biblia ambacho ni maarufu kuliko vyote ni kitabu cha HENOKO. Kitabu hiki mpaka leo kipo na kinaendelea kutumika kwenye Biblia ya Wakristo wa Dhehebu la Orthodox la nchini Ethiopia na Syria.

Ambacho wengi hawajui ni kuwa kitabu hiki cha Henoko kilikuwemo katika Biblia ya kawaida ya mwanzoni inayoitwa King James version ya mwaka 1611. Lakini baadae kitabu hiki kiliondolewa na kikapigwa marufuku kusomwa. Kikafichwa ,kikapotea kabisa. Sababu pekee iliyotolewa ya kukiondoa kitabu hiki ilisemwa kuwa " hakieleweki, kinachanganya".

Lakini ni ajabu sana kuwa, ukisoma kitabu hiki unajifunza vitu vingi sana ambavyo havijaelezewa kwa kina kwenye Biblia ya kawaida tunayotumia.

Ndani ya kitabu cha Henoko pameandikwa;

1. Asili ya Uchawi na aina zake duniani ulianzaje. Jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
2. Wameelezewa malaika kwa upana sana, yametajwa majina ya malaika wengi sana na kazi zao, jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
3. Imeelezwa asili ya mapepo na majini duniani walianzaje / walitokea wapi. Huwezi kukuta hili kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
4. Imeelezwa kwa kina habari ya malaika waliozaa na wanadamu ambayo kwenye Biblia ya kawaida imeandikwa kwa kificho kidogo Sana Mwanzo sura ya 5.
5. Maarifa ya Uumbaji wa anga na unajimu yameandikwa kwa mapana Sana.
6. Maarifa ya elimu ya nyota na habari za mamajusi zimeandikwa pia.
7. Ugunduzi wa teknolojia ya kutengeneza silaha duniani ulianzaje na ni malaika gani aliyewafundisha wanadamu Hilo.
8. Ameelezewa shetani habari zake kwa undani sana.
9. Habari za wanefili( majitu) yaliyozaliwa na malaika na binadamu zimeandikwa vizuri.

Sasa mwandishi wa vitabu, George Charles Lukindo , amekitafsiri kitabu hiki kutoka katika lugha yake ya asili kabisa ya Kiaramu ( Aramaic) kuja katika Kiswahili. Ikumbukwe kitabu hiki kiliandikwa katika lugha ya Kiaramu na ndiyo lugha aliyokuwa akiitumia Yesu..

Kitabu hiki kitaingizwa katika mtandao wa vitabu wa Amazon hivi karibuni.

Ili kupata kitabu hiki wasiliana na Mwl. Makungu Ms
0743781910
JP 22 Dec 2024

KINAUZWA
 
NI KWANINI KITABU CHA HENOKO KILIFICHWA/ KILIONDOLEWA KATIKA BIBLIA?

Je! Ilikuwa ni mpango wa shetani??

Kwani ni kitabu Cha Henoko tu ndio kiliondolewa? Mbona historia inaonesha ni vitabu vingi tu viliondolewa mfano Injili ya Maria Magdalena. Sasa kwanini humu JF kila post kitabu Cha Henoko, kitabu cha Henoko! Kama ni lazima kiwemo si unachapisha Biblia yako unakiweka!? Kwishaaaaa!!
 
Tapeli mkubwa wewe kitabu cha Henoko kinapatikana bure mitandaoni

Na hakuna aliyekificha .Hakijawahi kuwa sehemu ya Biblia yeyote ya agano la kale ya wayahudi yaani Jewish Bible ambao ndio wenye agano la kale
 
Back
Top Bottom