Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
yuda 1:14 Henoki, ambaye alikuwa wa kizazi cha saba baada ya Adamu, alitoa unabii kuhusu watu hawa akasema, “Sikilizeni! Nilimwona Bwana akija na watakatifu wake maelfu kwa maelfuHivi hakimuwemo kwenye Biblia ambayo Yesu aliyoitumia kuhubiri hekaluni.. Hakuwahi kuquote chochote humo.
Kama hakikuwemo yuda hili andiko alilinukuu kwenye Tamthiliya?