Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Sasa kama tunaambiwa vitabu vilivyo kwenye biblia viliandikwa na walioviandika huku wakiongozwa na roho mtakatifu iweje vitabu vingine viondolewe? Vyenyewe waandishi wake hawakuongozwa na roho mtakatifu hadi vionekane havifai na vina maelezo ya kujichanganya ndani yake? Kwanza hata hivyo vilivyobaki kuna sehemu vinajichanganya na kuchanganya watu.Kwani ni kitabu Cha Henoko tu ndio kiliondolewa? Mbona historia inaonesha ni vitabu vingi tu viliondolewa mfano Injili ya Maria Magdalena. Sasa kwanini humu JF kila post kitabu Cha Henoko, kitabu cha Henoko! Kama ni lazima kiwemo si unachapisha Biblia yako unakiweka!? Kwishaaaaa!!