min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Safi sana mkuu , kwenye hiki nimezingatia hili ila biashara ya ndugu yetu inaweza endelea kwa sababu kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake๐ค๐ค
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu , kwenye hiki nimezingatia hili ila biashara ya ndugu yetu inaweza endelea kwa sababu kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake๐ค๐ค
Tuwekee hicho kitabuNI KWANINI KITABU CHA HENOKO KILIFICHWA/ KILIONDOLEWA KATIKA BIBLIA?
Je! Ilikuwa ni mpango wa shetani??
๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ
ยฉ Mwl. Makungu Ms
0743781910
Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena.
Vitabu hivi ambavyo ni mafundisho ya kidini / kiimani ya zamani vipo 15 na walivipa jina la pamoja la Apoclipha.
Katika vitabu hivi vya Apoclipha, wakatoliki wakaamua kuvichukua vitabu 6 kati ya 15 wakaviingiza kwenye Biblia ya Kikatoliki. Lakini madhehebu mengine yaliviacha.
Apoclipha ni neno la kigiriki lililo na maana ya SIRI. Kwahiyo vitabu hivi viliamuliwa kufanywa Siri. Vikapigwa marufuku kuwekwa kwenye Biblia na hata kusomwa.
Je! Ni SIRI gani hiyo iliyofichwa???
Moja ya vitabu vya Apoclipha vilivyoondolewa kwenye Biblia ambacho ni maarufu kuliko vyote ni kitabu cha HENOKO. Kitabu hiki mpaka leo kipo na kinaendelea kutumika kwenye Biblia ya Wakristo wa Dhehebu la Orthodox la nchini Ethiopia na Syria.
Ambacho wengi hawajui ni kuwa kitabu hiki cha Henoko kilikuwemo katika Biblia ya kawaida ya mwanzoni inayoitwa King James version ya mwaka 1611. Lakini baadae kitabu hiki kiliondolewa na kikapigwa marufuku kusomwa. Kikafichwa ,kikapotea kabisa. Sababu pekee iliyotolewa ya kukiondoa kitabu hiki ilisemwa kuwa " hakieleweki, kinachanganya".
Lakini ni ajabu sana kuwa, ukisoma kitabu hiki unajifunza vitu vingi sana ambavyo havijaelezewa kwa kina kwenye Biblia ya kawaida tunayotumia.
Ndani ya kitabu cha Henoko pameandikwa;
1. Asili ya Uchawi na aina zake duniani ulianzaje. Jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
2. Wameelezewa malaika kwa upana sana, yametajwa majina ya malaika wengi sana na kazi zao, jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
3. Imeelezwa asili ya mapepo na majini duniani walianzaje / walitokea wapi. Huwezi kukuta hili kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
4. Imeelezwa kwa kina habari ya malaika waliozaa na wanadamu ambayo kwenye Biblia ya kawaida imeandikwa kwa kificho kidogo Sana Mwanzo sura ya 5.
5. Maarifa ya Uumbaji wa anga na unajimu yameandikwa kwa mapana Sana.
6. Maarifa ya elimu ya nyota na habari za mamajusi zimeandikwa pia.
7. Ugunduzi wa teknolojia ya kutengeneza silaha duniani ulianzaje na ni malaika gani aliyewafundisha wanadamu Hilo.
8. Ameelezewa shetani habari zake kwa undani sana.
9. Habari za wanefili( majitu) yaliyozaliwa na malaika na binadamu zimeandikwa vizuri.
Sasa mwandishi wa vitabu, George Charles Lukindo , amekitafsiri kitabu hiki kutoka katika lugha yake ya asili kabisa ya Kiaramu ( Aramaic) kuja katika Kiswahili. Ikumbukwe kitabu hiki kiliandikwa katika lugha ya Kiaramu na ndiyo lugha aliyokuwa akiitumia Yesu..
Kitabu hiki kitaingizwa katika mtandao wa vitabu wa Amazon hivi karibuni.
Ili kupata kitabu hiki wasiliana na Mwl. Makungu Ms
0743781910
JP 22 Dec 2024
KINAUZWA
Asante mkuu.Adobe Acrobat
acrobat.adobe.com
Jaribu kutumia Opera mini.Nimeshindwa kuki-download dah!
Kutunga ni nini?Vitabu vyote vimetungwa hata biblia kuna ambavyo vilipitia mchakato wa kura za maoni kuwepo na baadhi ya mistari.
๐๐. Nimekuja kuona karibu kila jamii inahadithi au rituals za ibada zinazofanana na za Mungu wa Israel. Hii inaonyesha chanzo chetu ni kimoja. Kuna siku bila kujali rangi watu wote walikiwa mahala pamoja.Ndio maana ile ikaitwa hadithi mkuu, ila kuna visa vya mule vipo kwenye vitabu karibu vya dini๐๐๐
Mila na tamaduni nyingi zinafanana tu , ndio maana wayahudi walitoa kafara ya nafaka, mikate, divai na njiwa hivyo ni vyakula na vinywaji vyao vya asili , sisi wachaga tulitoa kafara ya maziwa , mbege, na nyama , ila leo wamatumbi wanatumia divai na mkate kwa ukumbusho, wakati divai na mikate sio asili yetu๐๐๐. Nimekuja kuona karibu kila jamii inahadithi au rituals za ibada zinazofanana na za Mungu wa Israel. Hii inaonyesha chanzo chetu ni kimoja. Kuna siku bila kujali rangi watu wote walikiwa mahala pamoja.
Kuunda au kutengeneza kitu kwa ubunifu wa kisanaaKutunga ni nini?
Mtu akiandiks matukio aliyoshuhudia anakiwa upande upiKuunda au kutengeneza kitu kwa ubunifu wa kisanaa
Inategemea sasa kwa sababu Bibilia inayo matukio ya kihistoria ambayo ni fact kama utawala wa kirumi dhidi ya wayahudi , na mengne ni ya kiimani tu hayana uthibitisho.Mtu akiandiks matukio aliyoshuhudia anakiwa upande upi
Ndiyo kinafungukaTony Laurent hicho kitabu kinafunguka?
Mkuu asante! Naomba bei ya kitabu hiki.NI KWANINI KITABU CHA HENOKO KILIFICHWA/ KILIONDOLEWA KATIKA BIBLIA?
Je! Ilikuwa ni mpango wa shetani??
๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ
ยฉ Mwl. Makungu Ms
0743781910
Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena.
Vitabu hivi ambavyo ni mafundisho ya kidini / kiimani ya zamani vipo 15 na walivipa jina la pamoja la Apoclipha.
Katika vitabu hivi vya Apoclipha, wakatoliki wakaamua kuvichukua vitabu 6 kati ya 15 wakaviingiza kwenye Biblia ya Kikatoliki. Lakini madhehebu mengine yaliviacha.
Apoclipha ni neno la kigiriki lililo na maana ya SIRI. Kwahiyo vitabu hivi viliamuliwa kufanywa Siri. Vikapigwa marufuku kuwekwa kwenye Biblia na hata kusomwa.
Je! Ni SIRI gani hiyo iliyofichwa???
Moja ya vitabu vya Apoclipha vilivyoondolewa kwenye Biblia ambacho ni maarufu kuliko vyote ni kitabu cha HENOKO. Kitabu hiki mpaka leo kipo na kinaendelea kutumika kwenye Biblia ya Wakristo wa Dhehebu la Orthodox la nchini Ethiopia na Syria.
Ambacho wengi hawajui ni kuwa kitabu hiki cha Henoko kilikuwemo katika Biblia ya kawaida ya mwanzoni inayoitwa King James version ya mwaka 1611. Lakini baadae kitabu hiki kiliondolewa na kikapigwa marufuku kusomwa. Kikafichwa ,kikapotea kabisa. Sababu pekee iliyotolewa ya kukiondoa kitabu hiki ilisemwa kuwa " hakieleweki, kinachanganya".
Lakini ni ajabu sana kuwa, ukisoma kitabu hiki unajifunza vitu vingi sana ambavyo havijaelezewa kwa kina kwenye Biblia ya kawaida tunayotumia.
Ndani ya kitabu cha Henoko pameandikwa;
1. Asili ya Uchawi na aina zake duniani ulianzaje. Jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
2. Wameelezewa malaika kwa upana sana, yametajwa majina ya malaika wengi sana na kazi zao, jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
3. Imeelezwa asili ya mapepo na majini duniani walianzaje / walitokea wapi. Huwezi kukuta hili kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
4. Imeelezwa kwa kina habari ya malaika waliozaa na wanadamu ambayo kwenye Biblia ya kawaida imeandikwa kwa kificho kidogo Sana Mwanzo sura ya 5.
5. Maarifa ya Uumbaji wa anga na unajimu yameandikwa kwa mapana Sana.
6. Maarifa ya elimu ya nyota na habari za mamajusi zimeandikwa pia.
7. Ugunduzi wa teknolojia ya kutengeneza silaha duniani ulianzaje na ni malaika gani aliyewafundisha wanadamu Hilo.
8. Ameelezewa shetani habari zake kwa undani sana.
9. Habari za wanefili( majitu) yaliyozaliwa na malaika na binadamu zimeandikwa vizuri.
Sasa mwandishi wa vitabu, George Charles Lukindo , amekitafsiri kitabu hiki kutoka katika lugha yake ya asili kabisa ya Kiaramu ( Aramaic) kuja katika Kiswahili. Ikumbukwe kitabu hiki kiliandikwa katika lugha ya Kiaramu na ndiyo lugha aliyokuwa akiitumia Yesu..
Kitabu hiki kitaingizwa katika mtandao wa vitabu wa Amazon hivi karibuni.
Ili kupata kitabu hiki wasiliana na Mwl. Makungu Ms
0743781910
JP 22 Dec 2024
KINAUZWA
HahahahaahahTapeli mkubwa wewe kitabu cha Henoko kinapatikana bure mitandaoni
Na hakuna aliyekificha .Hakijawahi kuwa sehemu ya Biblia yeyote ya agano la kale ya wayahudi yaani Jewish Bible ambao ndio wenye agano la kale
Uzuri JF Kuna watu tofauti tofauti na wenye uelewa ktk Mambo mengi,kwa hiyo km jamaa anadanganya atafunzwa adabu Sasa hivi.Tapeli mkubwa wewe kitabu cha Henoko kinapatikana bure mitandaoni
Na hakuna aliyekificha .Hakijawahi kuwa sehemu ya Biblia yeyote ya agano la kale ya wayahudi yaani Jewish Bible ambao ndio wenye agano la kale
Matapeli naona mnajitadi kuungana mkono wezi nyie kitabu cha Henoko ni free mtandaoniMkuu asante! Naomba bei ya kitabu hiki.
Wewe kama unataka kudakwa utapeli ondoa haraka hiyo namba yako kujitia unauza kitabu cha henoko hicho kitabu mtandaoni ni bure hujipendi au? Hilo namba la simu lako katupe jalalani bwege weweNI KWANINI KITABU CHA HENOKO KILIFICHWA/ KILIONDOLEWA KATIKA BIBLIA?
Je! Ilikuwa ni mpango wa shetani??
๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ
ยฉ Mwl. Makungu Ms
0743781910
Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena.
Vitabu hivi ambavyo ni mafundisho ya kidini / kiimani ya zamani vipo 15 na walivipa jina la pamoja la Apoclipha.
Katika vitabu hivi vya Apoclipha, wakatoliki wakaamua kuvichukua vitabu 6 kati ya 15 wakaviingiza kwenye Biblia ya Kikatoliki. Lakini madhehebu mengine yaliviacha.
Apoclipha ni neno la kigiriki lililo na maana ya SIRI. Kwahiyo vitabu hivi viliamuliwa kufanywa Siri. Vikapigwa marufuku kuwekwa kwenye Biblia na hata kusomwa.
Je! Ni SIRI gani hiyo iliyofichwa???
Moja ya vitabu vya Apoclipha vilivyoondolewa kwenye Biblia ambacho ni maarufu kuliko vyote ni kitabu cha HENOKO. Kitabu hiki mpaka leo kipo na kinaendelea kutumika kwenye Biblia ya Wakristo wa Dhehebu la Orthodox la nchini Ethiopia na Syria.
Ambacho wengi hawajui ni kuwa kitabu hiki cha Henoko kilikuwemo katika Biblia ya kawaida ya mwanzoni inayoitwa King James version ya mwaka 1611. Lakini baadae kitabu hiki kiliondolewa na kikapigwa marufuku kusomwa. Kikafichwa ,kikapotea kabisa. Sababu pekee iliyotolewa ya kukiondoa kitabu hiki ilisemwa kuwa " hakieleweki, kinachanganya".
Lakini ni ajabu sana kuwa, ukisoma kitabu hiki unajifunza vitu vingi sana ambavyo havijaelezewa kwa kina kwenye Biblia ya kawaida tunayotumia.
Ndani ya kitabu cha Henoko pameandikwa;
1. Asili ya Uchawi na aina zake duniani ulianzaje. Jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
2. Wameelezewa malaika kwa upana sana, yametajwa majina ya malaika wengi sana na kazi zao, jambo ambalo halijaelezwa kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
3. Imeelezwa asili ya mapepo na majini duniani walianzaje / walitokea wapi. Huwezi kukuta hili kwa uwazi kwenye Biblia tuliyonayo.
4. Imeelezwa kwa kina habari ya malaika waliozaa na wanadamu ambayo kwenye Biblia ya kawaida imeandikwa kwa kificho kidogo Sana Mwanzo sura ya 5.
5. Maarifa ya Uumbaji wa anga na unajimu yameandikwa kwa mapana Sana.
6. Maarifa ya elimu ya nyota na habari za mamajusi zimeandikwa pia.
7. Ugunduzi wa teknolojia ya kutengeneza silaha duniani ulianzaje na ni malaika gani aliyewafundisha wanadamu Hilo.
8. Ameelezewa shetani habari zake kwa undani sana.
9. Habari za wanefili( majitu) yaliyozaliwa na malaika na binadamu zimeandikwa vizuri.
Sasa mwandishi wa vitabu, George Charles Lukindo , amekitafsiri kitabu hiki kutoka katika lugha yake ya asili kabisa ya Kiaramu ( Aramaic) kuja katika Kiswahili. Ikumbukwe kitabu hiki kiliandikwa katika lugha ya Kiaramu na ndiyo lugha aliyokuwa akiitumia Yesu..
Kitabu hiki kitaingizwa katika mtandao wa vitabu wa Amazon hivi karibuni.
Ili kupata kitabu hiki wasiliana na Mwl. Makungu Ms
0743781910
JP 22 Dec 2024
KINAUZWA
Nani muanzilishi wa kusema vitabu hivi vimefichwa sijui ni vya siri. Maana tangu naingia JF ndio kauli mbiu, nikiingia mitandao hadi ya wazungu watakwambia ni vitabu vya siri.Vitabu vinapatikana bure , sema waswahili ni wachoyo katika kugawa maarifa .
Kuna jamaa alinipatia Kazi moja mwaka 2023 nimtafsirie kitabu chake kikichokuwa kimeandikwa Kwa Lugha ya kiingereza
Hiki kitabu kilikuwa kinazungumzia njia za kuita roho zilizokufa Ila huyu jamaa nilipomuomba anaipatie kitabu chote alikataa kabisa.
So na Mimi nilitafsifi vile vipande akanipa mil 1 nikamtumia .
Ila kile kitabu nimekipata hard copy japo kipo Kwa lugha ya kiarabu .
So Wabongo inapokuja katika maarifa hasa ya kiroho huwa hawapo tayari kuyatoa .
Thanks so much