Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp


Bill Gates - Windows, Xbox, n.k.


Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k.


Steve Jobs (RIP) - iPHONE



Sam Altman - Chat GPT

n.k.

Ni nini kinachochangia hali hii?
  • Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia?
  • Je, kuna uhusiano nakazi wanazofanya ?
  • Ni hali ya kimaumbile au ni matokeo ya maisha yao?
  • Je, ni matokeo ya kazi zao au ni tabia za kiasili?
  • ni jinsi wanavyokuzwa?
 
Genius ni mtu anayetatua matatizo na kutafuta suluhisho kwa kufikiri mwenyewe!

Mtu wa kawaida hutatua matatizo kwa kujifunza au kuulizia kwa majirani au jamii!

Simply put geniuses are "deep" common people are "wide"! Go figure!
 
Social skills gani hawana? Sijakuelewa mwaka 2019 nilikuwa goalkeapers program chini ya taasis ya BILL AND MELINDA GATES . Nilimuona Bill Gates hakuwa na matatizo yoyote. Nilichojifunza kupitia yeye ana misimamo anayoamini. Fafanua maada yako
 
Social skills gani hawana? Sijakuelewa mwaka 2019 nilikuwa goalkeapers program chini ya taasis ya BILL AND MELINDA GATES . Nilimuona Bill Gates hakuwa na matatizo yoyote. Nilichojifunza kupitia yeye ana misimamo anayoamini. Fafanua maada yako
Labda kama hauna interest na mambo ya tech, karibu wadau wote wa mambo ya tech wanamjua BillGates ni intorvert

huwezi kumjua mtu kwa kwa event moja iliyopangwa

 
huwa utegemeana huku africa bado tuna umimi hapa wao huwa bado wanachuki upinzanii wa biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…