Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana.
Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake yanavyohamasisha ngono na kujamiiana:
SWALI
Je, ni kweli mafundisho kwenye misahafu yanasisitiza masuala ya ngono kiasi hiki au ni tamaa binafsi tu za viongozi wa dini ndizo zinazowasukuma wakazanie mafundisho ya ngono kila kukicha?
 
Sio kweli , haujafanya utafiti wa kutosha umechukua clip fupi kujustfy madai yako batili.

Chukua msahafu wote Kisha angalia portion kubwa imezungumzia Nini na unachodai kinezungumziwa kwa asilimia ngapi ?

Halafu pia chunguza maudhui yanayotolewa na Masheikh uweke kwenye mzani kuthibitisha madai yako.
 
Mkuu nimefuatilia mashehe wengi mafundisho yao yanafanana:

Mkuu nimefuatilia mashehe wengi mafundisho yao yanafanana:

View attachment 3268218
Kuna Masheikh na Masheikh jina akiwemo na huyo , katika Uislamu Kuna watu wengi walijivesha kilemba Cha Usheikh lakini hawatoi mafundisho sahihi ya Kiislamu au wanatoa mafundisho ya dini katika misingi isiyofaa.

Mimi nina Magroup kibao ya Kiislamu miezi kibao sijaona mada za Ngono na ni Mwanafunzi pia nahudhuria darasa mbalimbali za elimu ya dini ya Kiislamu suala hilo halijapewa kipaumbele kwa kiwango unachodai
 
Dunia ya leo dini ni ya yule anaehubiri na si ya Mungu tena.
Waumini wanaenda kuomba kwa Mwamposa/Sule sio kuomba kwa Mungu tena.
Kwani huko kwa Mwamposa wanaenda kufanya nini mkuu? Ina maana upako wanaopata sio wa kiMungu?
 
Back
Top Bottom