Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

Kwani huko kwa Mwamposa wanaenda kufanya nini mkuu? Ina maana upako wanaopata sio wa kiMungu?
Siwezi kusema kwa yakini maana sijawahi kwenda lakini naamini Mungu haitaji dalali kufikiwa kimaombi.
 
Kwa uwelewa wangu mdogo hakuna dini inayo Ruhusu ngono labda tendo la ndoa
Of course tendo la ndoa ni ngono iliyohalalishwa maana kitu ni almost kile kile; style ile ile; matokeo yale yale.
 
Ina maana kwenye misahafu ya dini masuala ya ngono hayajapewa umuhimu kiasi hiki mkuu?
Dini isiyohubiri habari ya dhambi na kumrudia Mungu kwa njia ya wokovu ulioletwa na Yesu Kristo hamna imani hapo. Ni kelele kama kelele nyingine zisizo na maana.
 
Wivu unawasumbua, wanaona tufaidi sana ngono wakati na wao wanafanya nyuma ya pazia
 
Sio tu viongozi wa dini mkuu hata vijiweni katika Story 10 bhasi 7 ni Ngono.

Watu wengi kwa sasa hivi ni dhaifu.
 
Of course tendo la ndoa ni ngono iliyohalalishwa maana kitu ni almost kile kile; style ile ile; matokeo yale yale.
Tendo la ndoa ni tofaut kabisa na ngono ankoliii...

Ngono hata serikali haiitambui .. siku Demu wako afie geto ndo utajua tofaut ya ngono na tendo la ndoa
 
Dini isiyohubiri habari ya dhambi na kumrudia Mungu kwa njia ya wokovu ulioletwa na Yesu Kristo hamna imani hapo. Ni kelele kama kelele nyingine zisizo na maana.
Kwani dini za siku hz zinahubiri nini mkuu?
 
Dini isiyohubiri habari ya dhambi na kumrudia Mungu kwa njia ya wokovu ulioletwa na Yesu Kristo hamna imani hapo. Ni kelele kama kelele nyingine zisizo na maana.
Duh kwa hiyo wale wanaotembea na maspika stendi kupiga makelele wakiwa peke yao huku jasho linawavuja ile ndio dini ya kweli?
 
Wanahubiri habari za kuacha dhambi? Wanahubiri wokovu? Wanahubiri habari za Yesu Kristo? Kama sivyo, ni wapiga kelele na wapoteza muda tu na maspika yao! Halafu wacha kujishuku!
 
Muasisi wa uislamu Muhammad alikuwa anagegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, na alianza kukapapasa kakiwa na umri wa miaka sita, unategemea nini kingine kifundishwe kwenye dini yake.
 
Tendo la ndoa ni tofaut kabisa na ngono ankoliii...

Ngono hata serikali haiitambui .. siku Demu wako afie geto ndo utajua tofaut ya ngono na tendo la ndoa
Zingatia neno ILIYOHALALISHWA.
 
Unataka za kuomba sadaka kama hizi
 
Attachments

  • FDownloader.net-655003270612991-(576p).mp4
    5.6 MB
  • youtube_oPDL7FDfkIY_720x1280_h264.mp4
    12.4 MB

Back
Top Bottom