tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana.
Your browser is not able to display this video.
Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake yanavyohamasisha ngono na kujamiiana:
Your browser is not able to display this video.
Je, ni kweli mafundisho kwenye misahafu yanasisitiza masuala ya ngono kiasi hiki au ni tamaa binafsi tu za viongozi wa dini ndizo zinazowasukuma wakazanie mafundisho ya ngono kila kukicha?