Siwezi kusema kwa yakini maana sijawahi kwenda lakini naamini Mungu haitaji dalali kufikiwa kimaombi.Kwani huko kwa Mwamposa wanaenda kufanya nini mkuu? Ina maana upako wanaopata sio wa kiMungu?
Of course tendo la ndoa ni ngono iliyohalalishwa maana kitu ni almost kile kile; style ile ile; matokeo yale yale.Kwa uwelewa wangu mdogo hakuna dini inayo Ruhusu ngono labda tendo la ndoa
Dini isiyohubiri habari ya dhambi na kumrudia Mungu kwa njia ya wokovu ulioletwa na Yesu Kristo hamna imani hapo. Ni kelele kama kelele nyingine zisizo na maana.Ina maana kwenye misahafu ya dini masuala ya ngono hayajapewa umuhimu kiasi hiki mkuu?
Utamu utamu😍😍😍😍Kwa sababu utamu wa mbususu hufika mpaka kisogoni.
Mbususu ni mbususu!
Tendo la ndoa ni tofaut kabisa na ngono ankoliii...Of course tendo la ndoa ni ngono iliyohalalishwa maana kitu ni almost kile kile; style ile ile; matokeo yale yale.
NAKAZIA HAPAIt's their field of expertise.
Wanaongelea kile wanachojua na kupenda zaidi.
Ndo maana yake.Je, msisitizo huu umewekwa kwenye biblia na korani kwa kiasi hiki mkuu?
Utamu!😋😘Utamu utamu😍😍😍😍
Abdul Shiraz bin Tareeq Mahmoud II mbona mna haraka sana, si mshaambiwa mbinguni mtawakuta 70?
Duh kwa hiyo wale wanaotembea na maspika stendi kupiga makelele wakiwa peke yao huku jasho linawavuja ile ndio dini ya kweli?Dini isiyohubiri habari ya dhambi na kumrudia Mungu kwa njia ya wokovu ulioletwa na Yesu Kristo hamna imani hapo. Ni kelele kama kelele nyingine zisizo na maana.
Wanahubiri habari za kuacha dhambi? Wanahubiri wokovu? Wanahubiri habari za Yesu Kristo? Kama sivyo, ni wapiga kelele na wapoteza muda tu na maspika yao! Halafu wacha kujishuku!Duh kwa hiyo wale wanaotembea na maspika stendi kupiga makelele wakiwa peke yao huku jasho linawavuja ile ndio dini ya kweli?
Wenyewe wanajua. Hata shetani naye ana dini na wafuasi wake wanahubiri Mkuu.Kwani dini za siku hz zinahubiri nini mkuu?
Zingatia neno ILIYOHALALISHWA.Tendo la ndoa ni tofaut kabisa na ngono ankoliii...
Ngono hata serikali haiitambui .. siku Demu wako afie geto ndo utajua tofaut ya ngono na tendo la ndoa
Kweli na HakikaMkuu unamaanisha kwamba hawa viongozi moyoni mwao wamejaa tamaa za ngono?