Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

Of course tendo la ndoa ni ngono iliyohalalishwa maana kitu ni almost kile kile; style ile ile; matokeo yale yale.
Kweli kabisa mkuu. Tendo ni lile lile na staili ni zile zile. Aache kuwapotosha raia
 
Unataka za kuomba sadaka kama hizi
Hawa hapa ni matapeli ktk dini mkuu. Lakini ukiwasikia mashehe wengi wananukuu hadi biblia kuhusu masuala ya ngono. Mashehe wanasema mtu ukienda peponi utakuta pombe za kumwaga na utapewa mabikra 72 wa kuvinjari nao kila siku.
 
hujawahi kuwajua watumishi wa mungu na wa ibilisi bado
 
hujawahi kuwajua watumishi wa mungu na wa ibilisi bado
Ina maana wanaohimiza ngono ni watumishi wa ibilisi mkuu? Kivipi? Kwani ngono nj dhalmbi?
 
Hivi mume wa mchungaji Rose Shaboka ni nani? Atakuwa anafaidi sana aisee!
 
Ina maana wanaohimiza ngono ni watumishi wa ibilisi mkuu? Kivipi? Kwani ngono nj dhalmbi?
hao ni wana psychology.
hakuna mtu kwenye maandiko amewahi kuwa na mahubiri ya namna io.
pia biblia imekataza mwanamke kuwa mhubiri kanisani
 
hao ni wana psychology.
hakuna mtu kwenye maandiko amewahi kuwa na mahubiri ya namna io.
pia biblia imekataza mwanamke kuwa mhubiri kanisani
Biblia gani imezuia mkuu? Sio kila jambo liliandikwa linamaanisha yaliyomo.
 
Biblia gani imezuia mkuu? Sio kila jambo liliandikwa linamaanisha yaliyomo.
kila jambo lililoandikwa linamaanisha yaliyomo.
biblia inasema neno la mungu limekamilika usiongeze wala usipunguze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…