Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.

Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
 
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lisu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa chadema!.

Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
Siyo kweli. Magazeti ya HabariLeo na UHURU hawajaipa kipaumbele hiyo habari. Acha uchawa
 
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.

Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
Biashara imetangazwa.
Wanunuzi ni mashabiki na wapenzi wa Lissu . Biashara leo imelipa mnooo.
 
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.

Ni kwa nini imekuwa hivyo!?

..wanataka kuuza magazeti yao.

..usipoandika habari za Lissu maana yake hutaki pesa.
 
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.

Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
kwasasababu ni muhimu sana kujua huo ni uchu wa madaraka, tamaa ya vyeo na mamlaka au ni shinikizo kutoka kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, kuacha umakamu mwenyekiti na ghafla kudandia uenyekiti Taifa.

nadhan hilo ndilo haswa wengi wanataka kulibaini na kuligahamu kwa undani. Na ni uhuru na haki ya kila mwananchi kupata habari 🐒
 
CCM ina hofu kubwa sana na Mbowe na tutamchagua huyo huyo!
 
5b817c3b7f940cea05d444ee3d7028c8.jpg
 
Sio magazeti tu hata redio na tv zilifanya coverage na airtime ya kutosha kwa habari hiyo. Ilishangaza sana habari ya Lissu kutangaza kusudio la kugombea uenyekiti wa CHADEMA kushadidiwa kwa kiasi kikubwa zaidi kuliko wakati anagombea urais kupitia chama hicho. Hii si kawaida mpinzani kutangazwa vile kana kwamba ni wa CCM
 
Lissu na Chadema ndiyo habari inayouza magazeti vingevyo nani atanunua hivyo vipeperushi vya kisengerema.
 
kwasasababu ni muhimu sana kujua huo ni uchu wa madaraka, tamaa ya vyeo na mamlaka au ni shinikizo kutoka kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, kuacha umakamu mwenyekiti na ghafla kudandia uenyekiti Taifa.

nadhan hilo ndilo haswa wengi wanataka kulibaini na kuligahamu kwa undani. Na ni uhuru na haki ya kila mwananchi kupata habari 🐒
Ila kwa namna yalivyoandika ni kama ccm wanashabikia sana Lisu akomae na nia yake ya kuutaka uenyekiti kwa kuwa chama chao kitanufaika ila najiuliza kitanufaikaje!?
 
Sio magazeti tu hata redio na tv zilifanya coverage na airtime ya kutosha kwa habari hiyo. Ilishangaza sana habari ya Lissu kutangaza kusudio la kugombea uenyekiti wa CHADEMA kushadidiwa kwa kiasi kikubwa zaidi kuliko wakati anagombea urais kupitia chama hicho. Hii si kawaida mpinzani kutangazwa vile kana kwamba ni wa CCM
Yap kuna namna kuna kahila kamejificha
 
Ila kwa namna yalivyoandika ni kama ccm wanashabikia sana Lisu akomae na nia yake ya kuutaka uenyekiti kwa kuwa chama chao kitanufaika ila najiuliza kitanufaikaje!?
suala la kunufaika au kutonufaika huwa ni dhana tu ambayo hupewa promotions.

vyama vingi vya siasa vinaweza kunafuaika na mapambano haya ya hawa mafahali wawili wa Chadema endapo tu, patakua na mwisho mbaya, mathalani wa moja kati ya mafahali hawa wawili kutimikia chama kingine cha upinzani ambacho ndicho kitakachonufaika.

Chama Tawala kitanufaika na udhaifu utakaojitokeza hapo katikati baada ya Chadema kusambaratika 🐒
 
Sababu ni kwamba ccm wanatamani chadema igawanyike, ndiyo maana wanataka Lisu aasi chadema na kusepa na kikundi chake
 
Back
Top Bottom