Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Ile barua yake inaweza kuwa sahihi au si sahihi kwa kile anachokiita hofu aliyonayo ya kutekwa.
Lakini namna ya uwasilishaji wake ndio si sahihi hata kidogo, anaonyesha ana hamu ya heka heka, na watampa siku si nyingi, au wampuuze maana inaonyesha kama dishi kama lipo E48.

Lakini na wewe Lucas mbona kama na wewe una shida ya dishi kama mdude ni namna tu dishi lako limeyumbia upande wa machweo.
Mama hana maana bhana! Anazingua.
 
MDude ana akili timamu kama uchizi wanao vijana wa ccm
 
Rais anayeongoza mamilioni ya watu kutukanwa waziwazi ni rukhsa.

Ukikataza rais kutukanwa hadharani, unaalika vikao vya siri vya mapinduzi ya kijeshi, watu wampige risasi na kumua rais.

Kuruhusu rais atukanwe hadharani kunamsaidia hata rais mwenyewe kujua watu hawapendi nini.

Kunavisaidia hata vyombo vya usalama kuweza ku monitor nchi.

Usifikiri nchi zilizoendelea zenye demokrasia ya juu zinazoruhusu viongozi wao watukanwe wazi ni nchi za watu wajinga, na sisi kuweka utamaduni wa Lese Majeste, kuweka sheria kali dhidi ya kutukana viongozi, ni ujanja.
 
We bumundawa.
Amesha kamatwa na kuteswa mara nyingi lakini hawajui wamshitaki kwa lipi?
Kwani ni kosa kusema humpedi mtu?
 
MDude ana akili timamu kama uchizi wanao vijana wa ccm
Kama ana akili asingeweza kuandika kwamba "Rais Samia Suluhu Hassan ametuma watu wamteke wamuue"
NI kama windo limeona mtego halafu linaenda kujinasisha makusudi au kwa lugha ingine anajitongozesha
 
Kama unaweza kuunga mkono au kutokemea ujinga anaofanya mdude Nyagali,basi utakuwa na matatizo makubwa sana kichwani mwako.pili ni kuwa mimi nipo sawa na timamu kabisa kichwani mwangu.ndio maana napinga kabisa viyendo viovu na vya udhalilishaji kama hivi
 
Ndumba
 
Wewe Mwashambwa Iko hivi:Watu kama huyo uliyemtaja walikuwepo,wapo,Watakuwepo hadi kiama, Wewe chapa kazi simamia unachoamini na kutenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…