Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Wewe Mwashambwa Iko hivi:Watu kama huyo uliyemtaja walikuwepo,wapo,Watakuwepo hadi kiama, Wewe chapa kazi simamia unachoamini na kutenda!
Kwa hiyo inachofanya yeye ndio kazi yake hiyo kudhalilisha na kutukana wengine? Kwani yeye yupo juu ya sheria?
 
Rais anayeongoza mamilioni ya watu kutukanwa waziwazi ni rukhsa.

Ukikataza rais kutukanwa hadharani, unaalika vikao vya siri vya mapinduzi ya kijeshi, watu wampige risasi na kumua rais.

Kuruhusu rais atukanwe hadharani kunamsaidia hata rais mwenyewe kujua watu hawapendi nini.

Kunavisaidia hata vyombo vya usalama kuweza ku monitor nchi.

Usifikiri nchi zilizoendelea zenye demokrasia ya juu zinazoruhusu viongozi wao watukanwe wazi ni nchi za watu wajinga, na sisi kuweka utamaduni wa Lese Majeste, kuweka sheria kali dhidi ya kutukana viongozi, ni ujanja.
Mbona una mawazo ya kijinga kiasi hiki? Umeandika ukiwa umeweka vitu gani kichwani mwako?
 
Mbona una mawazo ya kijinga kiasi hiki? Umeandika ukiwa umeweka vitu gani kichwani mwako?
Mawazo gani ni ya kijinga?

Unaelewa "Lese Majeste" ni nini?

Unaelewa muelekeo wa dunia ya wanasheria wasomi kuhusu Lese Majeste katika dunia ya leo ni upi?

Umesoma kitabu gani, makala gani, kuhusu sheria za Lese Majeste?
 
Embu acha kujishushia heshima hapa wewe mwenye mawazo kama mdude
 
Back
Top Bottom