Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Lucas,
Nimesoma maoni yako kwenye Uzi wa mdude chadema na umesema wazi wazi MDUDE CHADEMA HANA AKILI NA AMECHANGANYIKIWA.

Niweke wazi kua mdude apuuzwe au asaidiwe apate kazi au apewe project asimamie Kama ni kilimo bashe amchukue au ufugaji.

Nyuzi Kama hizi zinaweza fanya mamlaka za SERIKALI zifanye kumshuhurikia.

Binafsi sipendezwi na lugha ngumu (matusi) ambazo amekua akitumia kuwa dhikaki watawala tangu JK,JPM, Sasa mama Samia

Kijana asaidiwe.
Akamatwe kwanza ndio asaidiwe kumuweka sawa kiakili na kisaokolojia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili na utamaduni mzima wa kuheshimiana na kukosoana kwa staha.

Imeshakuwa kero sana kwetu wananchi kuona mara nyingi sana Mdude Nyagali akitumia mitandao ya kijamii kumtolea RAIS wetu lugha za matusi, kumdhalilisha ,pamoja na kumhusisha ,kumzushia tuhuma za uongo, uchonganishi na zenye lengo la kumchafua pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.

Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi sana.na kitendo cha kukaliwa kimya pasipo kuchukuliwa hatua za kukamatwa,kuhojiwa,kufikishwa mahakamani kumemfanya ajione yupo juu ya sheria,kujiona anaogopwa ,kujiona yeye anaweza kufanya lolote,kusema chochote, kumtukana yeyote, kumdhalilisha yeyote,kumvunjia heshima yeyote,kumzushia yeyote pasipo kuchukuliwa hatua wala kukamatwa wala kuhojiwa wala kukemewa.

Imefanya watu wabaki wanashangaa inakuwaje mtu huyu anayefanya kazi ya kumchafua Mheshimiwa Rais kila siku anaachwa bila kuchukuliwa hatua? Watu wanashangaa kwanini anafumbiwa macho muda wote? Wahusika mnasubiri mtu huyu aropoke au aseme nini au amchafue vipi na kwa kiasi gani Rais wetu ndipo mumchukulie Hatua? Je sheria zinatumika kwa baadhi ya watu na kufungwa pingu kwa wengine kutokutumika?

Kwanini hamumkamati na kumhoji ili atoe ushahidi wa tuhuma anazozitoa? Yeye ni nani katika Taifa hili? Hii haikubaliki wala kuvumilika kuona akimchafua Rais wetu Pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. ni lazima tufahamu ya kuwa hakuna uhuru usio na mipaka,hakuna uhuru au demokrasia kwa ajili ya kutukana , kudhalilisha,kuwashushia heshima wengine pamoja na kuwapaka matope wengine. Uhuru una kwenda sambamba na wajibu wa kuzingatia haki za watu wengine .

Huwezi ukawa unachafua watu wengine halafu ukasema ni demokrasia au uhuru.uhuru na demokrasia ina mipaka yake. Nawakumbusheni ya kuwa Mbali ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye watoto, wajukuu lakini kubwa ni kuwa Ni Rais wetu ,ni kiongozi wetu tunaye muangalia na anayegusa Maisha yetu moja kwa moja. Kwa hiyo hatufurahishwi wala kupendezwa kuona Rais wetu akichafuliwa na mtu au kuzushiwa mambo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote ile.hii haikubaliki hata kidogo.

Ni lazima tabia hii mbaya na chafu inayofanywa na watu aina ya Mdude Nyagali waliokosa adabu na staha tuipinge,kuikemea ,kuishambulia na kuikataa kabisa hapa Nchini.ni lazima tuseme tunataka uhuru na demokrasia lakini siyo uhuru wa kuwatusi na kuwachafua wengine bila ushahidi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkamate wewe na mamako original sio yule wa kudandia kutoka kizimkazi
 
Moyo wa unyama unakuwasha sana mkuu

Last two week mods walikuokoa kwa kufuta uzi uliouweka ukitaka SATIVA atekwe nankupotea na nduguze wasihangaike kumtafuta. Tukasema uzi ule uwe ushahidi wakakuokoa ukaondolewa

Leo kiu ya damu inakupa kiherehere unataka Mdude naye akamatwe. Tunajua unamaanisha nini kwenye hiyo aya uliyoweka hapo.

Ndugu.
Usidhani hao wanaoongea wanasema uongo. Dola imekuwa behind all this na unajiaminisha kuwa upo salama, wakishamalizana na sisi watakuja kwenu mliobeba siri zao
 
He's the way he is !! So focus on something else !!!
 
Tatizo ni kwamba Lucas unafikiria mambo kwa kutumia "masaburi' badala ya ubongo. Kipi kigeni alichoongea Mdude ambacho ni uongo? we mgeni hapa nchini?. Wakati Tundu Lissu anatoa taarifu kuwa kuna watu mabaya wanamfuatilia si mlisema uzushi? Baada ya hapo Lissu hakushambuliwa kwa risasi za moto? Acha ujinga katika issue zinazo husu uhai wa wengine. Unajikomba mpaka aibu.
 
Kama wewe ulivyo zezeta/ndondocha.
FB_IMG_1726669452010.jpg
 
Back
Top Bottom