Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Ndugu zangu Watanzania,

Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili na utamaduni mzima wa kuheshimiana na kukosoana kwa staha.

Imeshakuwa kero sana kwetu wananchi kuona mara nyingi sana Mdude Nyagali akitumia mitandao ya kijamii kumtolea RAIS wetu lugha za matusi, kumdhalilisha ,pamoja na kumhusisha ,kumzushia tuhuma za uongo, uchonganishi na zenye lengo la kumchafua pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.

Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi sana.na kitendo cha kukaliwa kimya pasipo kuchukuliwa hatua za kukamatwa,kuhojiwa,kufikishwa mahakamani kumemfanya ajione yupo juu ya sheria,kujiona anaogopwa ,kujiona yeye anaweza kufanya lolote,kusema chochote, kumtukana yeyote, kumdhalilisha yeyote,kumvunjia heshima yeyote,kumzushia yeyote pasipo kuchukuliwa hatua wala kukamatwa wala kuhojiwa wala kukemewa.

Imefanya watu wabaki wanashangaa inakuwaje mtu huyu anayefanya kazi ya kumchafua Mheshimiwa Rais kila siku anaachwa bila kuchukuliwa hatua? Watu wanashangaa kwanini anafumbiwa macho muda wote? Wahusika mnasubiri mtu huyu aropoke au aseme nini au amchafue vipi na kwa kiasi gani Rais wetu ndipo mumchukulie Hatua? Je sheria zinatumika kwa baadhi ya watu na kufungwa pingu kwa wengine kutokutumika?

Kwanini hamumkamati na kumhoji ili atoe ushahidi wa tuhuma anazozitoa? Yeye ni nani katika Taifa hili? Hii haikubaliki wala kuvumilika kuona akimchafua Rais wetu Pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. ni lazima tufahamu ya kuwa hakuna uhuru usio na mipaka,hakuna uhuru au demokrasia kwa ajili ya kutukana , kudhalilisha,kuwashushia heshima wengine pamoja na kuwapaka matope wengine. Uhuru una kwenda sambamba na wajibu wa kuzingatia haki za watu wengine .

Huwezi ukawa unachafua watu wengine halafu ukasema ni demokrasia au uhuru.uhuru na demokrasia ina mipaka yake. Nawakumbusheni ya kuwa Mbali ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye watoto, wajukuu lakini kubwa ni kuwa Ni Rais wetu ,ni kiongozi wetu tunaye muangalia na anayegusa Maisha yetu moja kwa moja. Kwa hiyo hatufurahishwi wala kupendezwa kuona Rais wetu akichafuliwa na mtu au kuzushiwa mambo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote ile.hii haikubaliki hata kidogo.

Ni lazima tabia hii mbaya na chafu inayofanywa na watu aina ya Mdude Nyagali waliokosa adabu na staha tuipinge,kuikemea ,kuishambulia na kuikataa kabisa hapa Nchini.ni lazima tuseme tunataka uhuru na demokrasia lakini siyo uhuru wa kuwatusi na kuwachafua wengine bila ushahidi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jamaa amezidi ,hata kama ni kukosoa anavuka mipaka.
 
Mimi nadhani wewe sio mjinga bali ni mpumbavu! I hope you know the difference? This refers to chawa Mwashambwa🤪
 
Soma Pia: Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Huwezi ukawa unachafua watu wengine halafu ukasema ni demokrasia au uhuru.uhuru na demokrasia ina mipaka yake. Nawakumbusheni ya kuwa Mbali ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye watoto, wajukuu lakini kubwa ni kuwa Ni Rais wetu ,ni kiongozi wetu tunaye muangalia na anayegusa Maisha yetu moja kwa moja. Kwa hiyo hatufurahishwi wala kupendezwa kuona Rais wetu akichafuliwa na mtu au kuzushiwa mambo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote ile.hii haikubaliki hata kidogo.

Ni lazima tabia hii mbaya na chafu inayofanywa na watu aina ya Mdude Nyagali waliokosa adabu na staha tuipinge,kuikemea ,kuishambulia na kuikataa kabisa hapa Nchini.ni lazima tuseme tunataka uhuru na demokrasia lakini siyo uhuru wa kuwatusi na kuwachafua wengine bila ushahidi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

"Wasiojulikana" wanaichafua nchi sana lakini mbona nao hawakamatwi? Achana na Mdude Sumu ya nyigu 7x70.

Mmezoea kuwatawala waTZ waoga tu ,wakitokeza wanaojua haki zao mnataka kuwakamata ,tendeni haki uone kama watu design ya kina mdude watatokea ,nyie mnadhani milivyomuua Ben Saanane mkajua ndiyo mmemaliza ,hamuwezi kumaliza wote hata mkimuua Mdude kuna wengine wataibuka wa KUSHATO.
 
Acheni ujinga wa kuropoka ropoka vitu Ndivyo na ushahidi navyo .kwa lengo la kutafuta umaarufu na sifa tu za kijinga jinga tu
We mpumbavu hujui hata historia ya visiwani! Karume alipigwa risasi mchana kweupe huku akicheza dhumna pale ccm Kisiwandui. Kijana aliyempiga risasi, baba yake aliuliwa na Abeid Karume!! Karume aliua watu wengi akiwemo Kassim Hanga na Shariff Othman!!
Damu ya mwana Adam ni nzito haiendi bure.
 
Wewe mwendawazimu hiyo kazi ilimshinda Magufuli nyie hamtaiweza
Hamtaiweza.
Nawahakikishia hamtaiweza.
Mjifunze kutoka kwa mungu wenu Magufuli.
 
Huoni kuwa ametoa tuhuma za uongo na uzushi pia ambazo ni jinai na amevunja pia sheria za kimtandao kwa kutoa taarifa za uongo?
Kuongopa, au kutoa tuhuma za uongo sio kosa la jinai. Ingekuwa ni jinai, mtu akisinda kesi ya jinai mahakaman basi i tungekuwa tunawarudia kumshtaki mwendesha mashtaka kwa kutoa tuhuma za uongo.

Mdude Nyagali katoa maoni, kwamba hotuba ya Samia is the worst in country's post independence history. Hundreds of thousands of citizens who heard the speech have echoed the views of Mdude Nyagali.

Ni nini kipya na cha ajabu ulichosema ubalozi wa Marekani ambacho kiko so outlandish cha kudhani hakina baraka za State Deparrment ya Marekani ?

Kwamba Samia akipigia simu Joe Biden atamwambia Samia usikonde, mpotezee huyo mtu, balozi chizi huyo balozi. Ataambiwa na Biden Madam President you are doing a marvelous job kidnapping and chinjaring those CHA
DEMA guys!!!
 
Pumbafuuu Wewe Sasa Kama hakipo SAWA unaandika pumba Gani Hapa???
Kwanini
We mpumbavu hujui hata historia ya visiwani! Karume alipigwa risasi mchana kweupe huku akicheza dhumna pale ccm Kisiwandui. Kijana aliyempiga risasi, baba yake aliuliwa na Abeid Karume!! Karume aliua watu wengi akiwemo Kassim Hanga na Shariff Othman!!
Damu ya mwana Adam ni nzito haiendi bure.
Hivi unaelewa ulichoandika? Unaelewa nilichoandika? Kwanini umekurupuka tu kama kuku?
 
Kuongopa, au kutoa tuhuma za uongo sio kosa la jinai. Ingekuwa ni jinai, mtu akisinda kesi ya jinai mahakaman basi i tungekuwa tunawarudia kumshtaki mwendesha mashtaka kwa kutoa tuhuma za uongo.

Mdude Nyagali katoa maoni, kwamba hotuba ya Samia is the worst in country's post independence history. Hundreds of thousands of citizens who heard the speech have echoed the views of Mdude Nyagali.

Ni nini kipya na cha ajabu ulichosema ubalozi wa Marekani ambacho kiko so outlandish cha kudhani hakina baraka za State Deparrment ya Marekani ?

Kwamba Samia akipigia simu Joe Biden atamwambia Samia usikonde, mpotezee huyo mkuu, balozi chizi huyo balozi. Ataambiwa na Biden Madam President you are doing a marvelous job kidnapping and chinjaring those CHA
DEMA guys!!!
Naona umekurupuka kama mlevi na huelewi haya msingi wa hoja yangu.pole sana kwa ukurupukaji wako.
 
"Wasiojulikana" wanaichafua nchi sana lakini mbona nao hawakamatwi? Achana na Mdude Sumu ya nyigu 7x70.

Mmezoea kuwatawala waTZ waoga tu ,wakitokeza wanaojua haki zao mnataka kuwakamata ,tendeni haki uone kama watu design ya kina mdude watatokea ,nyie mnadhani milivyomuua Ben Saanane mkajua ndiyo mmemaliza ,hamuwezi kumaliza wote hata mkimuua Mdude kuna wengine wataibuka wa KUSHATO.
Wewe ropoka tu lakini fahamu ya kuwa hakuna aliye juu ya sheria.na huyo Mdude atawajibika tu.
 
Ndio maana naona umekurupuka sana .maana mfano uliotolea siyo msingi wa hoja yangu.
Msingi wa hoja yako ni uchawa wako kutaka kuaminisha umma kuwa viongozi wa serikali hii mfu ni infallible which is not true!
Ubaya wa nyinyi chawa mnashindwa hata kumwambia Samia kuwa hao anaowaua na kuwatesa wamezaliwa na mama zao kama yeye alivyomzaa mwanae Abdul ; na si hivyo tu wengine kama marehemu Kibao ni waume za wanawake kama nae alivyokuwa mumewe Hafidh!! Kujua machungu wanayopitia ajaribu kujiweka kwenye nafasi zao!
 
Back
Top Bottom