Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Mara chache sana kuona Serikali ya Nchi inakuwa inataka mazungumzo sijui 4 R nk. Mfano Mugabe,Kagame,Museveni nk kwani hayo mataifa makubwa yaliwantia nini?
Hawa watumishi wa Umma wangenyamaza kimya hakuna sababu za kuwajibu au kutafuta muafaka waendelee na kazi za kujenga nchi machine msemaji wa chama pekee kama kuna upotoshaji aweke sawa. Wengine tuwasubiri watakavyo kuja ndivyo watakavyo pokewa Putin mbona anaishi bila wamarekani? Zipigwe tu maana matusi ni kero hata kuliko target yetu.
 
Huyu kama sio chizi basi ni mtu wa ndani kabisa kawekwa kimkakati.
 
Back
Top Bottom