NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Mikoa hii mwizi anaweza kujieleza kwanza, anaweza kukanywa, kupelekwa kituoni ama ikitokea kupigwa ni dozi ya kati tu.
- Tanga
- Pwani
- Pemba
- Unguja,
- Dar kwa zamani ila sasa wageni wengi sana.
Mikoa mingine hata wahuni wakikuitia mwizi umekwisha, hakuna muda wa kukusikiliza, watu wanakusanyika kipigo kinaanza hapo hapo, ponea ya mwizi ni kipigo kizito, adhabu huwa ni za kikatili sana kama
Kuchomwa moto na tairi
Kukatwa mikono (vesti)
Kukatwa miguu (pensi),
Kushindiliwa na mawe makubwa
n.k.