The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.