The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Cc. Traata mzee wa vibrant opposition
Kwani tamko la DC ni la kwanza? Siyo wanasiasa tu wametamka maneno hayo bali hata vyombo vya dola kama polisi na mahakama!Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.
CCM hawawezi kuona aibu kwa sababu maisha yao yako kidhalimu zaidi.Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.
Hata Magufuri aliwahi kutamka kuwa wewe Mkurugenzi ni mtumishi wa Serikali mshahara nikulipe mimi halafu umtangaze mpinzani kuwa ameshionda basi kazi huna.Kwa gia hiyo Serikali ya CCM inaona uchaguzi wa haki siyo kitu ila kulinda chama chao kuna maslahi kuliko maisha ya Watanzania wengi.Kwani tamko la DC ni la kwanza? Siyo wanasiasa tu wametamka maneno hayo bali hata vyombo vya dola kama polisi na mahakama!
Kwa hiyo hakuna jipya!
Hakika.Wapinzani kutoa tamko ni kupoteza muda
Hata hapa unapiga kelele,vipi unataka mawe yapige kelele?Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.
Wapinzani hayo wameshasema sana, kinachofanyika sasa ni hao ccm kukiri tu ukweli hadharani ambao umekuwa ukisemwa siku zote na wapinzani.Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.
Kwa uwezo wangu nimefanya hayo koo wanapaswa kuchukua hatua hii ya sasa ni clear evidence ya kuitisha international sympathyKila kitu Unawaachia wanasiasa wewe umefanya nini kama mpiga kura.
Matunda ya Magufuri.Vyama vya upinzani bado vipo kweli? Kuna enzi zile za akina Wilbrod Silaa, Tl, kabwe, kafulila, Mbowe, wangwe, sugu, heche, msigwa, halima, mbatia nk..sahivi kumepoa hata waliopo wakisema kitu kimyaaa...yani kama chama hakina wabunge bungeni aisee kunakuwa ovyoo..
Ingesaidia sana kwa sasa kama wangeongeza pressure kwani kupitia ushahidi huu ingekaribisha jumuiya ya kimataifa kuona maonezi wanayofanyiwa wapinzaniCCM hawawezi kuona aibu kwa sababu maisha yao yako kidhalimu zaidi.
Sawa.Ingesaidia sana kwa sasa kama wangeongeza pressure kwani kupitia ushahidi huu ingekaribisha jumuiya ya kimataifa kuona maonezi wanayofanyiwa wapinzani
Lema kapost hii mistari..Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za wapinzani zingewafanya CCM waone aibu waje kwa meza ya mazungumzo ili kufuta huu mfumo.
Na amesema tayari washamaliza kazi muda mrefu which means uchaguzi wa Nov 2024 kazi ishamalizika.Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?