Ni kwanini mpaka sasa hakuna chama cha upinzani kimetoa tamko kufuatia mambo ya Ng'umbi?

Kwa nini unafikiri upinzani ndiyo wana wajibu na siyo wananchi wote kwa ujumla? Ile kauli ni kama ametukana wananchi na wananchi ndiyo walitakiwa wakiwashe. Acha mambo yajiendee yenyewe ila kuna siku hata waliopo CCM watakuja kujuta.
 
Nasubiri kusikia tume "huru" ya uchaguzi itasema nini
Wamepakwa matope, wasikae kimya, wamekosa uhalali!!
 
Wapo bize wanawaza kushiriki kwenye maboresho ya daftari la uchaguzi!
Wanafunguliwa codes lakini wao hawafunguki
Aibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…