Mzee baba, sumu haijalibiwi kwa kuilamba, nani asiyemgwaya Israel mtoa roho?Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.
Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi
Netanyahu anaendelea kuzuru mitaa na hivi juzi tu alienda Lebanon Kusini, sehemu kuwapa morali wanajeshi wanaopigana na Hezbollah.
Kwanini viongozi wakubwa wa Iran wameanza kujificha wakati kwenye hotuba huwa wanasema kwa kujiamini hawaogopi kifo ?
Tunawahacha viongozi wa Israeli makusudi ili washuudie baba yao USA akianguka kijeshi na kiuchumi na wao kukosa ulinzi.Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.
Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi
Netanyahu anaendelea kuzuru mitaa na hivi juzi tu alienda Lebanon Kusini, sehemu kuwapa morali wanajeshi wanaopigana na Hezbollah.
Kwanini viongozi wakubwa wa Iran wameanza kujificha wakati kwenye hotuba huwa wanasema kwa kujiamini hawaogopi kifo ?
WebabuHivi si ndo mlisema amekufa na ile inayoonekana ni video zake zilizotengenezwa na AI.
Wewe mja wa Imam Hussein unatakiwa kuelewa kwamba Strait of Hormuz imefungwa kwa meli zote za Iran, hakuna kuingia wala kutoka.Wakapitishe meli hormuz kwanza kuonekana kwa mojtaba ama laa hakuwezi kufanya wao wapite hormuz
Si huyu alijeruhiwa na kombora au ulitaka atembee akiwa bado mgonjwa?Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi
Acha propaganda, tokea blockade ya US Iran imepitisha mapipa million 20. Source ni gazeti namba moja kwa kumuunga mkono Trump duniani!!Wewe mja wa Imam Hussein unatakiwa kuelewa kwamba Strait of Hormuz imefungwa kwa meli zote za Iran, hakuna kuingia wala kutoka.
Kiuhalisia kwenye hii vita kila mmoja anasilaha yake best weapon ya israel ni targeted assasination kwa hii ni world super power watatumia kila kitu hususani vifaa vya technologia na ndio maana kwa sasa viongozi wakuu wa iran wanatumia kuandika kama njia ya mawasiliano any electrical device inaweza kuwa spy tool kuanzia TV etc et, na ndio namna pekee wakuu wapya wamajeshi na ujasusi quds force na irgc wa iran wapo kwa kuwa wanajilinda.Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.
Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi
Netanyahu anaendelea kuzuru mitaa na hivi juzi tu alienda Lebanon Kusini, sehemu kuwapa morali wanajeshi wanaopigana na Hezbollah.
Kwanini viongozi wakubwa wa Iran wameanza kujificha wakati kwenye hotuba huwa wanasema kwa kujiamini hawaogopi kifo ?
Kuna upotoshaji sana kwenye nukuu yako hapo juu. Suala ni kwamba, Iran hapitishi mafuta yake kupitia hiyo Strait of Hormuz kama unavyojaribu kupotosha kwa sababu sehemu ya andiko inasomeka hivi 👇Acha propaganda, tokea blockade ya US Iran imepitisha mapipa million 20. Source ni gazeti namba moja kwa kumuunga mkono Trump duniani!!
Iran shifts 20M barrels through ‘dark’ offshore oil network bypassing US port blockade, firm says
Iran is moving roughly 20 million barrels of oil through covert offshore networks near Malaysia to bypass the U.S. blockade, Windward AI says.www.foxnews.com
Iran sio wajinga wajinga kama hizo nchi ambazo USA alizoea kuziburuza
Comments za humu 99.99% zimegubikwa na ushabiki, unazi, udini, ujinga, upumbavu pamoja na wishful thinkings.Kuna upotoshaji sana kwenye nukuu yako hapo juu. Suala ni kwamba, Iran hapitishi mafuta yake kupitia hiyo Strait of Hormuz kama unavyojaribu kupotosha kwa sababu sehemu ya andiko inasomeka hivi 👇
****************************************************************************
Iran is moving tens of millions of barrels of oil through covert offshore networks to bypass the new U.S. blockade on its ports, maritime intelligence firm, says.
Iranian oil distribution continues through indirect routing and offshore transfer networks," Windward told Fox News Digital.
"As of April 13, at least 11 tankers carrying approximately 20 million barrels of Iranian oil are positioned offshore Malaysia within a ship-to-ship transfer hub," the firm determined.
********************************************************************
TAFSIRI YA HARAKA HARAKA:
Iran inahamisha makumi ya mamilioni ya mapipa ya mafuta kupitia mitandao ya siri ya baharini ili kukwepa kizuizi kipya cha Marekani kwenye bandari zake, kampuni ya kijasusi ya baharini inasema.
Usambazaji wa mafuta ya Iran unaendelea kupitia njia zisizo za moja kwa moja na mitandao ya uhamishaji nje ya nchi," Windward aliiambia Fox News Digital.
"Kufikia Aprili 13, angalau meli 11 zilizobeba takriban mapipa milioni 20 ya mafuta ya Irani zimewekwa nje ya Malaysia ndani ya kituo cha usafirishaji wa meli hadi meli," kampuni hiyo iliamua.
****************************************************************************
Kwa hiyo tunaelewa jinsi baadhi ya watu walivyo na ushabiki wenye misingi ya imani za kidini inayowafanya mara nyingi kupoteza mantiki ya hoja na kujikuta wakiandika mambo yasiyo na ukweli na yenye kujawa na propaganda ili tu kuhadaa umma wa wasomaji na wewe pia nakuona ukiwa kwenye kundi hilo hilo.
Kafungueni kwanza mlango wa Hormuz acheni kubweka bwekaWewe mja wa Imam Hussein unatakiwa kuelewa kwamba Strait of Hormuz imefungwa kwa meli zote za Iran, hakuna kuingia wala kutoka.
Wakapitishe meli zao hormuzHalafu utasikia Iran anamuweza Israel
Wakati viongozi wa Iran wanajificha mapangoni
Kwani hazipiti?Wakapitishe meli zao hormuz
Mlango wa Hormuz uko wazi kabisa na tayari kwa biashara na usafiri kamili.Wakapitishe meli zao hormuz