Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

Mlango wa Hormuz uko wazi kabisa na tayari kwa biashara na usafiri kamili.

Hata hivyo, zuio la kijeshi la majini (naval blockade) litaendelea kikamilifu na kwa nguvu zote dhidi ya Iran pekee, hadi pale makubaliano yetu na Iran yatakapokamilika kwa asilimia 100.

Mchakato huu unapaswa kwenda haraka sana kwani sehemu kubwa ya mambo tayari yameshajadiliwa.

Asanteni kwa kuzingatia jambo hili!

Rais Donald J. Trump
Walishindwa kufungua ma ayatollah wameamua kuufungua wenyewe
 
Kama nyie mnavyodanganyana kwenye kambi zenu za lgbtq+
Mudy anaruhusu kufirana
FB_IMG_1775932111937.jpg
 
Siasa tu, Iran nayo ina siasa za maji taka kama zaidi ya bongo.
 
Makobazi walisharidhika baada ya kumetengeneza Netanyahu wao wa AI na kumuua
 
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.

Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.

"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".

Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄
 
Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.

Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi

Netanyahu anaendelea kuzuru mitaa na hivi juzi tu alienda Lebanon Kusini, sehemu kuwapa morali wanajeshi wanaopigana na Hezbollah.

Kwanini viongozi wakubwa wa Iran wameanza kujificha wakati kwenye hotuba huwa wanasema kwa kujiamini hawaogopi kifo ?
Unataka watembee wauawe?
 
Back
Top Bottom