Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

Walishindwa kufungua ma ayatollah wameamua kuufungua wenyewe
 
Siasa tu, Iran nayo ina siasa za maji taka kama zaidi ya bongo.
 
Makobazi walisharidhika baada ya kumetengeneza Netanyahu wao wa AI na kumuua
 
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.

Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.

"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".

Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Unataka watembee wauawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…