Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na nikadhani watanikimbia badala yake wakaanza hapo hapo Kutiana mbele yangu.

Nashauri Siku zingine kukifanyika Sensa ya Watu Mkoani Dar es Salaam ijumuishe na hawa Paka kwani huenda ni Binadamu Waandamizi Wenzetu.
 
Yaani uliwasikia siku moja tu tayari ukahitimisha..!!

Mbona hata Mimi pia kwa Kuona tu Leo hii huu Mchango wako hapa nimeshahitimisha kuwa Kichwani Mwako hakuko sawa na Mirembe inakuita?
 
Maongezi yao kumbe yapo hivyo ya ku do,
Yeah wanatoa sauti hiyo wakati mwingine nilishawasikia kwa mbaliiii

Au labda ilikuwa watu mume na mke wakaamua ku do ufikiri sio wachawi
 
Kumbe kuna paka wa uswahilini basi mimi ntakuja na wangu wa ushuani😂
 
Back
Top Bottom