Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mabeberu wanatuaminisha ujinga Sana ujue tuna gari zetu zinaitwa nyumbu Kama sijakosea nigari safi tuuhkwa sababu ni ya mabeberu
Hahahah gari ni ile ile tu alimradi ikiwa na parts zote zinazohitajika. Kinachoongezeka ni cosmetics na new technologies ila msingi uko pale pale. Tukiweza kuboresha "Nyumbu" zikawa levels sawa na gari za mjapani mbona ni freshi tu.mabeberu wanatuaminisha ujinga Sana ujue tuna gari zetu zinaitwa nyumbu Kama sijakosea nigari safi tuuh
Its not about technology maana car architecture inahusisha components zile zile tu. Chassis, body, matairi, breki, suspensions, axle, gearbox, engine,usukani,gia, viti, infotainment sys,ac, taa n.k! Vyote unavipata katika gari zote iwe Germany au Mjapani.Technology inayotumika kuyaunda haifanani na Japanese cars..
Sio kweli Quality ya kitu ndio inafanya bidhaa kuwa bora alafu hizo gari zinatengenezwa kwa order ni za watu wazito tu ndio wanaweza kumiliki kuweka order kiwandani sio kitu cha mchezo mzee wangu.kwa sababu ni ya mabeberu
Kwanini Japanese cars ndio Zina soko kubwa afrika mashariki ukilinganisha na magari hayoTechnology inayotumika kuyaunda haifanani na Japanese cars..
1. Kasumba ya watu kukariri kwamba toyota is everything.Kwanini Japanese cars ndio Zina soko kubwa afrika mashariki ukilinganisha na magari hayo