Ni kwanini Samia anaunda Tume kuchunguza vurugu badala ya mauaji? Anajaribu kukwepa nini?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Ni kipi kinaanza...?

Hebu tuashumu kuwa, kweli kulikuwa na vurugu kabla, wakati na baada ya 29/10/2025 ambazo ziliishia kwenye mauaji ya maelfu ya raia wasio na hatia....

Sasa ni kipi kinapaswa kuchunguzwa na Tume yoyote iwe ya ndani au nje ya nchi...?

Je, tutachunguza chanzo cha vurugu kilichopelekea mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama au tutachunguza chanzo cha sababu ya mauaji ambayo ndiyo end product...??

Me, I completely don't understand what Samia is doing...

She's trying to defend herself from the atrocities she has committed....!

Is she succeeding...??
 
Huyu ana buy time hivyo hivyo hadi ifike 2030 kama hatakufa hapa katikati.
 
Hiyo ni sehemu tu ya tume nyingi zinazokuja mbele ya safari. Just wait and see.
 
Ni kipi kinaanza...?

Hebu tuashumu kuwa, kweli kulikuwa na vurugu kabla, wakati na baada ya 29/10/2025 ambazo ziliishia kwenye mauaji ya maelfu ya raia wasio na hatia....

Sasa ni kipi kinapaswa kuchunguzwa na Tume yoyote iwe ya ndani au nje ya nchi...?

Je, tutachunguza chanzo cha vurugu kilichopelekea mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama au tutachunguza chanzo cha sababu ya mauaji ambayo ndiyo end product...??

Me, I completely don't understand what Samia is doing...

She's trying to defend herself from the atrocities she has committed....!

Is she succeeding...??
Subiri 2030
 
Back
Top Bottom