Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

HUMAN ERROR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
318
Reaction score
627
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
 
No one is above the law. Kama kuna mtu kafanya uovu, ni vizuri tu ukiwekwa hadharani ili iwe funzo kwa wengine! Badala ya kuleta mambo ta kulindanana, na wakati kuna wahanga wameathiriwa na huo uovu.
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Hili limekuja kimkakati haswa kubalance joto la uchaguzi mkuu
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Serikali hailindi dead peoples
 
Back
Top Bottom