Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

Majizi yaliyomuua ndio yanafurukuta muda huu na kubwata kwa kasi.

Aliwanyorosha mno.
Yeye mqenyewe alikuwa jizi. Ni kwamba tu hakuna aliyekuw na ubavu wa kuandika wizi wake. Unafikiri kwa nini tenda zote za ujenzi zilikuwa hazishindanishwi?
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Yeyote huko serikalini akijitokeza maana yake na yeye pia alishiriki katka hayo yanayodaiwa na Erick kwamba JPM alimuua mtu point blank. ndio maana wako kimya, wanaangalia upepo.
 
Yes ukweli yaani huyu mjinga katutonesha sana, Mungu wetu yu hai anayaona machozi yetu, hayawezi potea bure
 
Unataka imlinde kwa unyama na udhalimu wake?

Maisha ni hadithi tu, na kila mtu anaandika hadithi yake. Ukiandika ushenzi , uonevu, ukatili, dhulma, usitegemee serikali inayofuata ije ikulinde!
Kokesku Nicolae wa Romania, Pinochet wa Chile, just naming a few..
 
Yeyote huko serikalini akijitokeza maana yake na yeye pia alishiriki katka hayo yanayodaiwa na Erick kwamba JPM alimuua mtu point blank. ndio maana wako kimya, wanaangalia upepo.
Hapa a serikali kuna namna inafanya kazi. Unakumbuka wale waliokuwa wanadhihaki hapa JF waliishia wapi??? Jiulize, usikomenti ujinga, Dkt Magufuli ni taasisi ya urais!
 
Unataka imlinde kwa unyama na udhalimu wake?

Maisha ni hadithi tu, na kila mtu anaandika hadithi yake. Ukiandika ushenzi , uonevu, ukatili, dhulma, usitegemee serikali inayofuata ije ikulinde!

Unyama gani? Udhalimu gani?

Kuwatoa watu ambao ni vyeti feki udhalimu?

Kuwachukulia hatua watu ambao walikuwa wanakula ela za wafanyakazi hewa nayo ni dhambi?

Watu wote ambao walikuwa wanamchukia magufuli walikuwa wanafanya vitu ambavyo havikuwa na uhalali

Wewe kama ulikuwa unapata salary yako vizuri unafanya kazi yako vizuri ubaya wa magufuli uko wapi?
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Serikali inamlinda Magufuli ndio maana wameweka walinzi wa kulinda kaburi lake saa 24 mkuu. Wewe ulitaka wamlindeje zaidi ya hapo?
 
Wanataka kuua Legacy.
J
Unyama gani? Udhalimu gani?

Kuwatoa watu ambao ni vyeti feki udhalimu?

Kuwachukulia hatua watu ambao walikuwa wanakula ela za wafanyakazi hewa nayo ni dhambi?

Watu wote ambao walikuwa wanamchukia magufuli walikuwa wanafanya vitu ambavyo havikuwa na uhalali

Wewe kama ulikuwa unapata salary yako vizuri unafanya kazi yako vizuri ubaya wa magufuli uko wapi?

Hayo yote angeweza kuyafanya bila kumshoot Saa8, Au kuagiza Lissu apigwe shaba
 
Watu wanatamani mapinduzi ya kiutawala lakini gharama zake hawataki kuzisikia. Mabadiliko ya nchi zetu za kiafrika lazima umwagaji damu uhusike, lazima mtu achukiwe, kwahiyo hakuna jipya kwa Erick ili mradi alichagua mwenyewe kuwa upande aliopo hakulazimishwa.
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
 
Attachments

  • IMG-20250102-WA0012.jpg
    IMG-20250102-WA0012.jpg
    169.9 KB · Views: 1
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Hasa tuhuma za ubakaji hazikupaswa kunyamaziwa na mtuhumiwà.
Mkuu kabisa unatuhumiwa kutaka kubakwa unakaa kimya?
Nchi imeoza, hata TISS hawawezi kumteteà mama Kweli kama yeye kashindwa kujitetea?
 
Magufuli ni mchafu kwa kuwa alijichafua mwenyewe. Ni kama Mbowe tu.
 
Legacy inauawa hivyo ili wakigombea mwaka huu wasiwe na mzigo wa kuelezea kwanini hawajafanya kama chuma ... bulldozer mwenyewe.
Huyo alikuwa mwehu na mpumbavu, ndiyo maana yeye mwenyewe alijiita kichaa na mvuta bangi
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Mungu atamlinda daima. Hata Mimi naona kimya chao kina walakini. Najua Magufuli ndiye anawanyima usingizi kwasababu utendaji wao unapimwa kwa magufuli. Hivyo wanaona wananchi wakimtaja kwa kumkumbuka wao inawauma mno
 
Back
Top Bottom