kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Mwehu anauzia kitabu chake amazon? Hebu fikiri mara mbili uhalali wa akili yakoSasa utaanza kujibishana na mwehu? Si utaonekana na wewe ni mwehu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu anauzia kitabu chake amazon? Hebu fikiri mara mbili uhalali wa akili yakoSasa utaanza kujibishana na mwehu? Si utaonekana na wewe ni mwehu?
Unataka kupingana na ukweli? Ni sawa na baadae mama akitoka halafu watu wakaanza kumsema "alikuwa anachekea utekaji , alisema kifo ni kifo alipo uawa ally kibao, aligawa mbuga kwa wajomba, aligawa bandari" halafu unataka watu wajitokeze kumtetea , sasa watatetea nini hapo wakati yote ni kweli?Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
Labda October 2025Shida nini ?
Huenda akazaliwa mahali pengine kwa namna nyingineHuyu mtu atarudi ?
Alihusika na kupotea kwa SokaNi sawa na baadae mama akitoka halafu watu wakaanza kumsema
Mbona yakiandikwa mazuri dhidi yake mnafurahia? Vumilieni ht huo upande mwingine, alitesa sana binadamu wenzake.Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
We marehemu mwenzie ndio utampigiaHakuna Haja
Wao wanapambana na Jina la Marehemu na Bado Wanaangukia pua!!
Hata Ikitokea Makosa kwenye Uchaguzi mkuu likawekwa jina La Magufuli nakuambia Wataangukia Pua jina la Marehemu linaweza Pigiwa Kura kuliko Hawa Walio hai
Kama ni kweli majizi ndiyo yaliyomuua basi angalau katika maisha na uovu wao yaliweza kufanya jambo jema la kuliokoa taifa.Majizi yaliyomuua ndio yanafurukuta muda huu na kubwata kwa kasi.
Aliwanyorosha mno.
Magu anavuna matendo ya ubaya wakeKuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
Yeye mweyewe alichafua. Na hasfshiki kabisa. Alikuwa chinja chinjaKuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
He was the worst president this country has ever had. Some might even equate his demise with a silent coup de tat..Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?