HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Josep Stalin na Noriega nao hawakujitetea na hawajalialia.marehemu hana haki, angekuwepo mwenyewe angejitetea. sisi tulio njiani tusiwe wa kuhukumu
Hili limekuja kimkakati haswa kubalance joto la uchaguzi mkuuKuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
Serikali hailindi dead peoplesKuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?