The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hoja yako haina uhalisia mtu akifeli lakini katika kitu anachopenda yeye hakuna tatizo ila kumlazimisha mtu kusoma kitu ambacho hana future nacho ni kuhujumu maisha yakeWamewasaidia. Mziki wa sayansi A level sio wa kitoto.
Ukienda na makalai yako kufeli six nje nje
Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi.
Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa ngazi ya A level.
Kwa mtazamo wangu naona ni kama serikali imeamua kuua ndoto za maelfu ya vijana Kwa makusudi Kwa kuwalazimisha kusoma vitu ambavyo hawakuchagua kuvisoma.
Mfumo wetu wa elimu ni mbovu kupindukia. Haiwezekani mtu achaguliwe cha kusoma hata ambacho asingependa.
Mfano eti chuo una apply TCU ndio wakupangie ukasome nini na chuo gani.
Ifikie mahali hiyo TCU iwe tu inasimamia vyuo na sio kupangia watu programme na vyuo vyakusoma. Mtu achague chuo na degree anayotaka mwenyewe.
Sijajua uanapotaka nilite ushahidi unataka nilete nini. Maana ninachokisema Nina kifahamu mimi ni muhanga nina nina vijana wangu watatu ambao hawakuwahi kuchagua art kabisa lakni wamepangiwa wakasome art mimi nimewakatalia ni heri wakasome certificate ya taaluma kuliko kutekeleza huu uharamiaIngekuwa vyema ungeleta ushahidi wa hicho unachokisema kwamba yupo aliyeomba kusoma maybe pcm/pcb/cbg/pgm kwenye machaguo yake na hakuomba hkl ama hgl lakini akapangiwa hkl ambayo haikuwa chaguo lake!!!
Ipo tendency unakuta mwanafunzi alichagua hkl kama chaguo la tatu ama la mwisho kisha anapelekwa hiyo hkl, halafu anakuja kulia eti hkl haikuwa chaguo lake, na watu kama wewe mleta uzi mnaanza kukurupuka kwamba kapelekwa chaguo lisilokuwa la kwake!
Uzuri mmoja kwa sasa bila shaka mfumo unaruhusu mwanafunzi kufanya machaguo baada ya matokeo!!
Hivyo ili kujiridhisha unachosema hakina magumashi, naomba uanike ushahidi humu kwa kuonyesha machaguo ya hao unaowasemea walichoomba kusoma kabla na walichopangiwa!
Mbona wasichana wamepelekwa wasome sayansi kama tatizo ni hilo!?Kwa sababu walikua wamefweli, ila ni Serikali hiyohiyo Kwa sababu za Siasa, ikawaongezea ufaulu waonekane wamefaulu sana kumbe hamna kitu
Tatizo ni Hilo nloliandika hapo, wasichana wamebebwa ivoivo kisiasa.Mbona wasichana wamepelekwa wasome sayansi kama tatizo ni hilo!?
Na hapa ndo naona Kuna tatizo kubwa huwezi beba wasichana Kwa gharama ya kuwakandamiza wanaume huku ni kuhujumu maisha ya watu kwa makusudi. Ni heri umchezee mtu kwenye ajira lkni sio kwenye elimu inauma sana yaani.Tatizo ni Hilo nloliandika hapo, wasichana wamebebwa ivoivo kisiasa.
Upo sahihi sana Hoja yako ni nzito hv ulimwengu wa sasa unamchagulia mtu cha kusoma kweli!??Mfumo wetu wa elimu ni mbovu kupindukia. Haiwezekani mtu achaguliwe cha kusoma hata ambacho asingependa.
Mfano eti chuo una apply TCU ndio wakupangie ukasome nini na chuo gani.
Ifikie mahali hiyo TCU iwe tu inasimamia vyuo na sio kupangia watu programme na vyuo vyakusoma. Mtu achague chuo na degree anayotaka mwenyewe.
Nakumbuka ummy alipokuwa tamisemi na ndalichako elimu waliwahi kusema hawatawachagulia tena wanafunzi nini cha kusoma nimeshangaa sana kwani waliposema vile walikusudia kufumua huo mfumo au walikusudia wafanye miujiza gani!?Mfumo wetu wa elimu ni mbovu kupindukia. Haiwezekani mtu achaguliwe cha kusoma hata ambacho asingependa.
Mfano eti chuo una apply TCU ndio wakupangie ukasome nini na chuo gani.
Ifikie mahali hiyo TCU iwe tu inasimamia vyuo na sio kupangia watu programme na vyuo vyakusoma. Mtu achague chuo na degree anayotaka mwenyewe.
Hii ya TCU umeitoa wapi? Mbona wanafunzi wanaomba vyuo na course wanazotaka au ulimaanisha TAMISEMI.Mfumo wetu wa elimu ni mbovu kupindukia. Haiwezekani mtu achaguliwe cha kusoma hata ambacho asingependa.
Mfano eti chuo una apply TCU ndio wakupangie ukasome nini na chuo gani.
Ifikie mahali hiyo TCU iwe tu inasimamia vyuo na sio kupangia watu programme na vyuo vyakusoma. Mtu achague chuo na degree anayotaka mwenyewe.
Anayekubishia achana naye aendelee na Imani yake. Mimi ni shuhuda na mhanga matokeo ya mwaka Jana Mtoto wa Kaka yangu alichagua PCB, PCM na CBG. matokeo ya chini kwenye hizo comb alikuwa na BCC lakini matokeo yake alipelekwa HKLalikokuwa na CBB Sawa kabisa na matokeo yake ya PCM.Sijajua uanapotaka nilite ushahidi unataka nilete nini. Maana ninachokisema Nina kifahamu mimi ni muhanga nina nina vijana wangu watatu ambao hawakuwahi kuchagua art kabisa lakni wamepangiwa wakasome art mimi nimewakatalia ni heri wakasome certificate ya taaluma kuliko kutekeleza huu uharamia
Afadhali mkuu maana huyu naye sijui wa wapi hili jambo lipo wazi kabisa yeye analeta ubishi wakeAnayekubishia achana naye aendelee na Imani yake. Mimi ni shuhuda na mhanga matokeo ya mwaka Jana Mtoto wa Kaka yangu alichagua PCB, PCM na CBG. matokeo ya chini kwenye hizo comb alikuwa na BCC lakini matokeo yake alipelekwa HKLalikokuwa na CBB Sawa kabisa na matokeo yake ya PCM.
Mkuu labda mimi nimesoma chuo muda mrefu uliopita. Kuna mabadiliko?Hii ya TCU umeitoa wapi? Mbona wanafunzi wanaomba vyuo na course wanazotaka au ulimaanisha TAMISEMI.
Tamisemi na uhuru wa mtu kujichagulia vina uhusiano gani?Nakumbuka ummy alipokuwa tamisemi na ndalichako elimu waliwahi kusema hawatawachagulia tena wanafunzi nini cha kusoma nimeshangaa sana kwani waliposema vile walikusudia kufumua huo mfumo au walikusudia wafanye miujiza gani!?