Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

PD_Magumba

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
722
Reaction score
2,225
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
 
anaitwa ndugu D.Beida a.k.a Kivuruge,,🤣😂
downloadfile-2.jpg
 
Hii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
 
Hii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
Fact mkuu ila umeandika kwa uchungu sana
 
Ni kwanini SIMBA SC ndo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii.

Belouizdad 3-0 Yanga
Yanga 4-0 Belouizdad
Simba 6-0 Jwaneng Galaxy
 
Fact mkuu ila umeandika kwa uchungu sana
Ifike muda watu wawe serious taasisi haiwezi kukupa task ufanye baadae unarudi na majibu eti flani nae kashindwa hayo yanatuhusu nini sisi? Ilikua tuta anza kushangilia goli la 3 baadae ikawa tutaenda kuwashangaza Cairo sasa hivi imekua ni ngumu kwenda nusu fainali, pumbafu kabisa
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Kwa hiyo Ahmed Ally hawakirishi tabia ya Mashabiki wa SIMBA kuzomea?
 
Back
Top Bottom