PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Acha hasira mRemBoUnamuuliza nani?
Guvu moyaUnamuuliza nani?
Fact mkuu ila umeandika kwa uchungu sanaHii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
Umenotice kitu cha msingi sana.Hii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
Ni kwanini SIMBA SC ndo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii.
Ifike muda watu wawe serious taasisi haiwezi kukupa task ufanye baadae unarudi na majibu eti flani nae kashindwa hayo yanatuhusu nini sisi? Ilikua tuta anza kushangilia goli la 3 baadae ikawa tutaenda kuwashangaza Cairo sasa hivi imekua ni ngumu kwenda nusu fainali, pumbafu kabisaFact mkuu ila umeandika kwa uchungu sana
Kwa hiyo Ahmed Ally hawakirishi tabia ya Mashabiki wa SIMBA kuzomea?"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020